sidhani kama kuna kijana DAR anyemshinda kwa hiloMjomba kwa kuuza sura tu kafanikiwa...
Sidhani kama kuna mkazi wa Ilala anayejua kupima utendaji wa wanasiasa!nadhani wakazi wa Ilala wanampima na 2015 wanaweza kufanya maamuzi kutokana na majibu ya vipimo vyao
Mjomba kwa kuuza sura tu kafanikiwa...
Usitake kumpamba jamaa bila sababuguys, jerry has done far commendable job kwa msiojua, tusipime juu au kwa chuki binafsi hakutaka gari ila amepewa kwa wadhifa wake, ni kati ya viongozi wachache wanaosimama mbele za watu wakitoa solutions za matatizo badala ya kuweka blame kwa vichwa vya wengine, kutopenda kubwabwaja kwenye vyombo vya habari sio kigezo cha mtu asiyechapa kazi labda moja kubwa ninalolifaham ni kuwezesha hospital zote za wilaya ya ilal kuwa na dawa za kila aina kwa kushirikiana na wahisani, unaweza usilijue hili kwa sababu wengi wenu humu mkiumwa mnakimbilia private ila kuna walalahoi wengi wao wakiumwa ni amana au temeke au mwananyamala nje ya hapo wamekufa, ila ukienda hospital izo dawa zipo za kutosha na kwa wamama wajawazito huduma zipo hamana kelele za dawa hakuna kanunue! this guy is destiny for something big!
hii ndio ofisi yake au?Usitake kumpamba jamaa bila sababu
Kwanza tuletee ahadi alizozitoa
Kisha tuletee list ya hayo aliyoyatekeleza tangu kaingia
Mkitaka kujua kama huyu dogo hafanyi kazi yoyote ile tazama hii picha ya pale ILO nje halafu mjiulize mambo haya ya kuziba pedestrian katoa nani vibali kama si huyu bishoo anayejiita meya wa ilala?
Tunalipa kodi wao ndio wakusanyaji na wapanga mipango ya maendeleoWatu kwa majungu hamwezekani,hivi kazi za meya ni hizo mnazotaja?Nyie mmechangia vipi kuleta mabadiliko zaidi ya nanyi kuandika humu?