Jerry Silaa: CHADEMA walinipa ushindi

Ndiyo maana jana Ritz na wenzake walikuwa adimu sana hapa JF kumbe kulikuwa na ubwabwa Lumumba...
 
Last edited by a moderator:
Ni sawa kabisa siku zote mvivu wa kifikiri huwa anatafuta sehemu ya kurukia au kudandia ili aonekana matokeo yake ndio hayo atukane mtu kwa ajili ya CHEO hapo ndipo tulipo. Kama si upumbavu ni nini sasa.
 
Ccm kimegeuka na kuwa shamba darasa la matus halafu ndio chama tawala na kikongwe niaibu sana kwa chama tawala kweli nimeamini kuwa na umri mkubwa sio chanzo cha hekima.
 

That mother f%&*#r thinks he is genius!! Kweli ni GENIUS kwa SISIEMU maana kilichobaki kwa chama chao ni kutoa matusi tu bila suluhisho ili mradi chama kikutunuku (According to Jerry). Ingekuwa vyema angewatajia audience yake hoja ambazo alitumia kuisambaratisha CDM. Mtu anaongea tu kwa sababu hasipofungua mdomo, kinywa kitanuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…