Jerry Silaa amesahaulika ama ni upepo?

Lakini watu wa DSM wameichapa makofi kidogo CCM kwa kulikosa jiji, watu kama Jerry ndio walikuwa na kiburi sana kwa wananchi na viongozi.
 
Walikuwa wametengeneza mtandao wao mkubwa sasa mtandao umevurugwa na kuvunjwa maana wasiyempenda kaja alisumbua sana alipokuwa meya pale Ilala utadhani Mungu Mtu fulani hivi, sasa namba itasomwa sana na bora tuheshimiane mtaani sasa
 
Walikuwa wametengeneza mtandao wao mkubwa sasa mtandao umevurugwa na kuvunjwa maana wasiyempenda kaja alisumbua sana alipokuwa meya pale Ilala utadhani Mungu Mtu fulani hivi, sasa namba itasomwa sana na bora tuheshimiane mtaani sasa
Yaani kwa hili hata ule Uvasco Dagama wa kaka yangu wa Msoga ninausahau, that was a perfomance.
 
kumbe kuna watu lazima wateuliwe kila mara?
 
Siasa siasani.
it's how you play your cards.

Hakuna mwanasiasa wa kudumu
 
Hivi waliokuwa wakimsapoti Lowasa ndani ya CCM wanadhambi gani? Je si kawaida watu kuwa na makundi wanayoyaunga mkono wakati wa mchakato wa uchaguzi? Sasa kwa nini mshindi anapopatikana anawaona wale ambao hawakumuunga mkono kama wasaliti? Hizi siasa za Africa hizi acha tu.
 

Tatizo sio Lowassa au kumsapoti Lowassa. Jerry Nchimbi Sophia Sadifa na Kimbisa ni wajumbe wa kamati kuu ya ccm. uamuzi uliofikiwa kwenye kikao walipaswa kukubaliana na kile kilichofanyika wao walichofanya ni kutaka kugawa chama..

kwani ni wanachama wangapi walikua wanamsapoti Lowasa lkn wanakula bata tu ccm? walikubaliana na uamzi wa cc ya ccm
 
Sawa mkuu, kwa hili nimekuelewa kwa maana ya dhana nzima ya "collective responsibility". Lakini kila siku tunaona threads hapa kuwa wale waliokuwa wakimsapoti Lowassa hata kama hawakuwa kwenye vyombo vya maamuzi kama CC hawateuliwi katika nafasi zozote zile badala yake jitihada zinafanyika kuwatupilia mbali. Katika dhana ya ushindani wa kidemokrasia hii si sawa. Baada ya mchakato wote wanatakiwa wawe kitu kimoja.
 

Waziri wa Kilimo Charles Tzeba alikua Team Lowasa.
Naibu Waziri Kilimo Ole Nashe nae alikua Team Lowassa.

wako wengi tu. ila makosa ya hao wengine kina Jery nawenzake ni makosa makubwa sana, hata mimi ntashangaa kama chama kitawapa nafasi tena
 
I just wish mgejua kuwa Jerry is somewhere preparing himself to rise in a bigger professional position. Don't always have prejudicial negative attitudes. At least I write with confidence kwamba Jerry Silaa hajapotea but us somewhere prepared for come back again
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…