babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,326
mmh,king maker kwa maana ya mzee wa msoga [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Refer kwa yule King Maker aliyemuzesha kuwa Meya wa Ilala anauhusiano gani na serikali ya sasa utapata jibu.
makosa yapi mkuuMpaka atubu makosa yake ndiyo atafikiriwa
Mhh bwana wewe mzee wa habari leo.mmh,king maker kwa maana ya mzee wa msoga [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
You nailed it.huyu mtoto Jerry nikigeugeu haamini wala sio wa kumwamini.
huyu Jerry amebebwa na Familia ya Jakaya sana mpka kufikia hapo alipofikia
katika mchakato wa Uchaguzi ccm alikua bega kwa bega na Lowassa huku akijua hii Familia ya Mrisho inamsaport Benard {SIMBA WA RONDO} wakampotezea wakasema ni uhuru wake, sasa Baada ya Lowassa kupigwa Mkasi kule DODOMA katia watu waliopangwa kutoka nje na kusema hauridhiki ni yeye Jerry, Sadifa Juma Nchimbi Kimbisa pamoja na Mama La Mama Sophia Simba rejea hii kauli {hakuna mwanaume kamaLowasa ccm by Sophia Simba}
kwa maaana hiyo Jerry hana lake kwenye huu utawala labda Ngosha aamue tu kumuona ni utoto tu ulikua unamsumbua na Pesa za LUWASA ZILIMCHANGANYAAAA
Unajua watu wengi walijua Luwaso atachukua nchi, pamoja na kukatwa unakumbuka wazee waliitwa na Mzee Makamba, mstaafu wa awamu ya 3, JK mwenyewe walifanya nguvu za ziada. Mitandaoni Mange Kimambi alitupa tafu sana ingawa ametupotezea.You nailed it.
Hivi Sophia Simba atagombania tena uwenyekiti?huyu mtoto Jerry nikigeugeu haamini wala sio wa kumwamini.
huyu Jerry amebebwa na Familia ya Jakaya sana mpka kufikia hapo alipofikia
katika mchakato wa Uchaguzi ccm alikua bega kwa bega na Lowassa huku akijua hii Familia ya Mrisho inamsaport Benard {SIMBA WA RONDO} wakampotezea wakasema ni uhuru wake, sasa Baada ya Lowassa kupigwa Mkasi kule DODOMA katia watu waliopangwa kutoka nje na kusema hauridhiki ni yeye Jerry, Sadifa Juma Nchimbi Kimbisa pamoja na Mama La Mama Sophia Simba rejea hii kauli {hakuna mwanaume kamaLowasa ccm by Sophia Simba}
kwa maaana hiyo Jerry hana lake kwenye huu utawala labda Ngosha aamue tu kumuona ni utoto tu ulikua unamsumbua na Pesa za LUWASA ZILIMCHANGANYAAAA
SIJUIHivi Sophia Simba atagombania tena uwenyekiti?
eeeeeeeh!Akiwa Meyaaaa alimjibu ovyooo waiziri dhamana wa madaraja ati haongei na mbwa anaongea na mwenye mbwaaaa
Wacha aisome namba
Support aliyokuwa nayo Jerry haikua ya kitoto ndio ilimpa kiburi.eeeeeeeh!
hii namba kweli wanaisoma wengiSupport aliyokuwa nayo Jerry haikua ya kitoto ndio ilimpa kiburi.
Umechambua vizuri sanahuyu mtoto Jerry nikigeugeu haamini wala sio wa kumwamini.
huyu Jerry amebebwa na Familia ya Jakaya sana mpka kufikia hapo alipofikia
katika mchakato wa Uchaguzi ccm alikua bega kwa bega na Lowassa huku akijua hii Familia ya Mrisho inamsaport Benard {SIMBA WA RONDO} wakampotezea wakasema ni uhuru wake, sasa Baada ya Lowassa kupigwa Mkasi kule DODOMA katia watu waliopangwa kutoka nje na kusema hauridhiki ni yeye Jerry, Sadifa Juma Nchimbi Kimbisa pamoja na Mama La Mama Sophia Simba rejea hii kauli {hakuna mwanaume kamaLowasa ccm by Sophia Simba}
kwa maaana hiyo Jerry hana lake kwenye huu utawala labda Ngosha aamue tu kumuona ni utoto tu ulikua unamsumbua na Pesa za LUWASA ZILIMCHANGANYAAAA
Nakumbuka pia walikwaluzana pale mzee wa madaraja alivyosema Kuna mabango pembezoni mwa barabara yapo kwenye hifadhi ya barabara na yang'olewe, yeye akasema hakuna kwani ni chanzo cha mapato ya jijiAkiwa Meyaaaa alimjibu ovyooo waiziri dhamana wa madaraja ati haongei na mbwa anaongea na mwenye mbwaaaa
Wacha aisome namba