Filikuludewa alikuwa amenyooka sana katika michango yake ya bungeni. Apumzike kwa amani.Filiku alimtenda ubaya gani mzee kijana hadi astahili madhila hayo?
Gwajima kateuliwa leoRefer. Saga yake na GWAJIMA mpaka wakaitwa kwenye kamati ya maadili.
Samia na serikali/ wanamtandao wame wa eliminate woteeeeeee ambao ni threat kwao.
JOSEPHAT GWAJIMA ndie tunae mzingatia...Gwajima kateuliwa leo