Jerry Murro ndani ya RFA muda huu

NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,958
2,951
Wakuu,

Tumsikilize Jerry RFA muda huu anajadili masuala ya uchumi mi hata simuelewi anachosema anae mwelewa anisaidie nielewe anachozungumza.

Natanguliza shukrani.
 
ana taaluma ya kuropoka ndiyo imempa umarufu
Jerry anachoelezea ni kufafanua notice za darasani kipindi anasoma, anapoulizwa kuhusu reality ya uchumi kwa raia, naona ni anaruka ruka tu.
Siasa sio nzuri.
Nimevutiwa na Jamaa mwingine kunasehemu kasema ukweli ambao upo wazi.
 
RFA nao huwa wanakaribisha vichaa kuwahoji issue za maana.....watu kama hao wanatakiwa wakaribishwe kwenye mada za mipasho au mambo ya mafumanizi na vigodoro
 
Back
Top Bottom