Jerry Muro "Yanga kufa ni kufa "

Hatimae yametimia Yanga yatupwa nje mashindano ya Klabu bingwa Afrika.Kuna jamaa kasema eti Yanga kafa kiume napenda kumwambia Jerry Muro kuwa Yanga Kufa ni Kufa hakuna kiume wala kike
Sawa lakini tunashuka kwenye confederation
 
Wa Kimataifa Huko Kwenye Mataifa Nako Wameshindwa Ukweli Mpira Wao Ni Viporo Waje Wapashe Home Na Ubingwa Wa Kupanga Matokeo Ya Viporo
wewe bado mtoto. Yanga wana majukumu ya kimataifa mkia wewe. matokeo ya kupanga, utaishia kulialia ka madem
 
Hatimae yametimia Yanga yatupwa nje mashindano ya Klabu bingwa Afrika.Kuna jamaa kasema eti Yanga kafa kiume napenda kumwambia Jerry Muro kuwa Yanga Kufa ni Kufa hakuna kiume wala kike
Ukitaka kujua ile ni kufa kiume kwa goli la dk ya 97 yanga anasonga mbele kwenye kombe la shirikisho na iwapo atashinda(na atashinda tu)mchezo wake unaofuata anatinga hatua ya makundi(robo fainali)kombe la shirikisho.Msioitakia mema inabidi muendelee kusubiri kwanza
 
Wa Kimataifa Huko Kwenye Mataifa Nako Wameshindwa Ukweli Mpira Wao Ni Viporo Waje Wapashe Home Na Ubingwa Wa Kupanga Matokeo Ya Viporo
Mbona bado tuko kimataifa au hufatilii mambo,Azam anarudi sisi tunacover ile nafasi yake na tutasonga kwenda hatua ya makundi.yanga bado ipo ipo sana kimataifa kama hupendi kula ndimu.
 
Sipotezi muda kushabikia timu zenye wachezaji wanao kunywa chai na maandazi asubuhi, wali maharage mchana na usiku hivyo hivyo. Halafu mibange kwa sana.
Labda lianzishwe kombe la majungu tutachukua kombe la dunia
 
Mbona bado tuko kimataifa au hufatilii mambo,Azam anarudi sisi tunacover ile nafasi yake na tutasonga kwenda hatua ya makundi.yanga bado ipo ipo sana kimataifa kama hupendi kula ndimu.
Haitafika popote. Fanya yako ndugu. Labda kama ni kombe la vigodoro.
 
Back
Top Bottom