Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,050
- 1,359
Akihojiwa katika kipindi cha Mkasi tv bw. Muro amesema amesema amefanya mengi katika jamii hivyo haoni sababu ya yeye kutokufanya hivyo na kuongeza kuwa tusichague mtu kwa sababu tu ana mapesa yake lakini tuangalie mtu huyo ameisaidiaje jamii yake.
kwa upande wangu huyu jamaa kanivutia sana anajua kujenga hoja hivyo kama atagombea katika jimbo langu nitampigia kura
kwa upande wangu huyu jamaa kanivutia sana anajua kujenga hoja hivyo kama atagombea katika jimbo langu nitampigia kura