Jerry Muro kortini tena

Stupid gvnt mambo ya msingi wanayaacha kesi kibao ziko mahakan wanadai pesa hakuna sasa zakuendeshea rufaa wanazitoa wapi,hawa nyinyiem wanasuka njama.bt one day yes!
 
Katalina na wewe una ubia na rushwa za polisi kule Iringa nini mkuu. Maana hayo ndo yanayomsibu kijana muro na kila mtu anajua kwamba jamaa wanatafuta kumnyamazisha kwa sababu ya aibu aliyowatia live kitonga wakipokea rushwa. Hii ni katika kulipa kisasi. Kova anausongo nae mpaka anashindwa kujua kwamba raia wanaruhusiwa kuwa na pingu. kumbe hata polisi wakubwa kabisa hawajui sheria. Ajabu.
 
Back
Top Bottom