Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,037
- 165,607
Aibu kubwa sana kwa Taifa lenye shida za wananchi lukuki kushindana na kijana mdogo kisa kawaanika uozo wa polisi na rushwa. Serikali ya mahawala na mashemeji ina taabu kwelikweli.
huu uonevu. mbona chenge na lowasa wanadunda tu? hii serikali ya kinafiki na kiduanzi
huu uonevu. mbona chenge na lowasa wanadunda tu? hii serikali ya kinafiki na kiduanzi