Jerri Silaa: Hakuna wa Kumzuia Membe 2015

Mwingereza

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
1,115
Reaction score
2,771
Kama kawaida team Membe at work. Meya wa Ilala, baada ya kupiga tungi hanaga mipaka ya kuongea. Jana jioni maeneo ya Seacliff, jamaa alianza kubwabwaja, kwamba EL hana lolote akiendelea kutumia watu kama Makongoro Mahanga. Jerri anaamini, kwamba hakuna wa kumzuia Bernard Membe kuchukua dola 2015.
 
Sasa alikuwa anakataa nn ile conversation yake na riz 1 ya kumtukana Mamvi
 
Usiombe katika maisha yako mwanamke akuache lazima uchizi, ndio kinachomkuta jamaa saizi..yani hata barabarani anaongea mwenyewe kisa kupigwa chiiiiiiiiiiini na mwanamke (mke wa ndoa) inasemekana ili apige mzigo lazima abustiwe kwanza ndio kisa cha mwanamke kukimbia na kutafuta wanaume lijali....Na juzi juzi kapigwa chini tena na mtoto wa Bulembo kisa anashindwa kuperform kwa mara nyingine yaaani jamaa kadata ile mbayaaaaaaa...Maskini Jerry poleeeeeeeeee
 
Unataka kusema mheshimiwa meya ni mchicha mwiba?
 
Wengine wanasema hakuna wa kumzuia Lowasa,wengine wanasema hakuna wa kumzuia January,wengine wanasema hakuna wa kumzuia Wasira,wengine wanasema hakuna wa kumzuia Mwigulu,wengine wanasema hakuna wakumzuia Sitta,wengine wanasema hakuna wa kumzuia Tibaijuka,wengine wanasema hakuna wa kumzuia Kigwangwala.CCM wamebaki na siasa za wawamba ngoma,mwisho watakipasua chama kwa mikono yao wenyewe.
 
Maneno ya kwenye pombe ndiyo unatuletea wakati unajua mtu akilewa huongea ubwabwa.
 
Pombe siyo chai membe na lowasa hawafai uraisi Tanzania labda pinda
 
Usiombe katika maisha yako mwanamke akuache lazima uchizi, ndio kinachomkuta jamaa saizi..yani hata barabarani anaongea mwenyewe kisa kupigwa chiiiiiiiiiiini na mwanamke (mke wa ndoa) inasemekana ili apige mzigo lazima abustiwe kwanza ndio kisa cha mwanamke kukimbia na kutafuta wanaume lijali....Na juzi juzi kapigwa chini tena na mtoto wa Bulembo kisa anashindwa kuperform kwa mara nyingine yaaani jamaa kadata ile mbayaaaaaaa...Maskini Jerry poleeeeeeeeee

Duh!! Umeua baba khaaaa........ Ila wewe ni mtu wa 5 nimewahi kusikia kwa jamaa yake wa karibu ila hii kambi ya Joka ka Mdimu 70% tabia zao zina utata na ni za kutilia Shaka..........

Mtu kama Jerry kashaanza kupoteza mwelekeo na angekaa kimya angefika mbali ila ndo tunaendelea kusema hizi nafasi ama hivi vyeo vya kwa hisani ya watu wa Ikulu vina taabu sana watu wanaishia kujisahau. Aliwahi kubisha zile screen shot kaingia tena kwente 18.........

Kina Gambo hao very stupid kind of viongozi we ever had........ Unakaa kushindana na kumtukanatukana Lowassa daily hivi huwezi kuuza mgombea wako nila kutukana wengine??
 
Huu ni uongo mtakatifu. Jerry Silaa hayupo Dar kabisa. Sasa sijui huko sea cliff ulienda mzimu AU nini
 
JF ina some poor thinkers: badala ya kujadiri hoja sasa inajadiriwa ndoa ya mtoa hoja. Watu wa mwizi mgonjwa ebu rekebisheni tabia za ajabu. Tujadiri hoja kwamba hakuna wa kumzuia Membe kama ambavyo tungejadiri kwamba hakuna wa kumzuia mwizi mgonjwa aka mamvi. Ushabiki mzuri na wakweli unatambua uwepo wa upande unaokizana na wenye uwezo wa kushinda. Tubadirike, leteni hoja za kambi zote mbili msaidie wapiga kura.
 
Usiombe katika maisha yako mwanamke akuache lazima uchizi, ndio kinachomkuta jamaa saizi..yani hata barabarani anaongea mwenyewe kisa kupigwa chiiiiiiiiiiini na mwanamke (mke wa ndoa) inasemekana ili apige mzigo lazima abustiwe kwanza ndio kisa cha mwanamke kukimbia na kutafuta wanaume lijali....Na juzi juzi kapigwa chini tena na mtoto wa Bulembo kisa anashindwa kuperform kwa mara nyingine yaaani jamaa kadata ile mbayaaaaaaa...Maskini Jerry poleeeeeeeeee

Aisee na mimi nilishasikia hii kitu, kumbe ni kweli jamaaa ndio vileeeeeee tena........ Du kweli uanaume kazi comrades.
 
Duh!! Umeua baba khaaaa........ Ila wewe ni mtu wa 5 nimewahi kusikia kwa jamaa yake wa karibu ila hii kambi ya Joka ka Mdimu 70% tabia zao zina utata na ni za kutilia Shaka..........

Mtu kama Jerry kashaanza kupoteza mwelekeo na angekaa kimya angefika mbali ila ndo tunaendelea kusema hizi nafasi ama hivi vyeo vya kwa hisani ya watu wa Ikulu vina taabu sana watu wanaishia kujisahau. Aliwahi kubisha zile screen shot kaingia tena kwente 18.........

Kina Gambo hao very stupid kind of viongozi we ever had........ Unakaa kushindana na kumtukanatukana Lowassa daily hivi huwezi kuuza mgombea wako nila kutukana wengine??

Hata mimi nimesikia hii kitu muda mrefu sana kaka, now 98% naamini ni kweli, because moja wa aliye niambia ni shemeji yake mstaafu
 
That is a really wise focus (membe) is only one can save this cruel trial ImageUploadedByJamiiForums1410683207.171390.jpg
 
JF ina some poor thinkers: badala ya kujadiri hoja sasa inajadiriwa ndoa ya mtoa hoja. Watu wa mwizi mgonjwa ebu rekebisheni tabia za ajabu. Tujadiri hoja kwamba hakuna wa kumzuia Membe kama ambavyo tungejadiri kwamba hakuna wa kumzuia mwizi mgonjwa aka mamvi. Ushabiki mzuri na wakweli unatambua uwepo wa upande unaokizana na wenye uwezo wa kushinda. Tubadirike, leteni hoja za kambi zote mbili msaidie wapiga kura.[/QUO

Kwa taarifa yako mkuu kuna positive correlation kati ya uendeshaji wa familia na uongozi katika jamii......na kumbuka ndoa sio tu ni mahusiano ya kike na kiume bali ni institution kama zilivyo institution zingine mkuu.
 
mkuu nawe una katabia ka ubwa.bwa. kama jerry slaa nini?[/QUOTE]

hahahahahahahahaha umegusa penyewe umemaliza kaka, siongezi kitu tena hapo, kumbe wako wengi JF ifanye screening kwa kuangalia maumbile za watu.
 
Back
Top Bottom