Jera ya masikini na jamii yenye mabadiliko

Jeef George

Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
47
Reaction score
60
Habari na karibu katika fikra za kujilisha ufahamu na kuelimika...

Nakuletea andiko story for change Ndimi mwandishi wako Jeef George andaa mawazo ,uelewa na maswali yenye kufumbua mboni za watu wengi waliofungwa na jera ya umasikini,katika andiko hili uliza tujemge hoja zenye kuleta mabadiliko katika jamii.
Asante endana nami pamoja kubadilisha fikra za watu wengi!
FB_IMG_1632366226657.jpg

Kuwa gerezani haimaanishi kuwa wewe ni mfungwa, la hasha.
Na haidhinishi mtu aliyeuraiani kuwa ati si mfungwa huo uongo.
Hebu tumuache EL CHAPO NA ESCOBAR,kufungwa katika magereza kwa uraibu wa madawa ya kulevya,akina zodiac the killer, akina Irich Ramirez Sanchez (Carlos) au Carlos the Jackal,Kobi mowart,ni watuku wengi waliowahi na hata wakiionja jela,tukimuacha zodiac aliyeshindikana.

Kuna watu wako jera ila wapo huru kifikra,na kuna watu wapo uraiani ila wako jera kifikira.

#Nasemahivijerayamasikini

Jera ya masikini ina mahakimu wawili watiaye nguvuni masikini.Si umasikini wa pesa hapa,ni umasikini wa fikra.

1.Jaji Njaaa
2.Jaji Mazoea

Njaa
. Jaji huyu anamuhukumu mnyonge huyu masikini kwa kosa la kuwepo mashahidi wake kama vile;
Hainihusu.
Nitafanye.
Navumilia.
Nimezoea.
Walewale.

Mazoea
Jajihuyu humtia nguvuni masikini kwa uwepo wa mashahidi kama;
Atakuwa.
Anajua nini.
Acha akome.
Atajiju.
Ananini.

Majaji hawa huambatana na DPP anaeitwa sichezewi.Hapa ndo una kuta mtu flani kwa mwonekano ni mtu,ila ana weza kuwa jitu maana ni liharifu lililo katika gereza la uvivu wa kufikiri,unaojitokeza dhahiri kwa kushangilia mateso ya wengine,shida za wengine na kushabikia upumbavu wa kufikiri dhidi ya wenye bongo waliopo darasani.
Ogopa sana mtu wa milembe kuonekana anahuzunika au kulia na ukimsogerea ukimuhoji kwanini analia,nae atakwambia anamuonea huruma mgonjwa wa kichaa àliyeko ñae milembe,bila kujitambua nae kumbe ni kichaa pia,hapa naonesha kuwa kila mtu hujiona ana akili kuliko wengine.

UKITAKA KUJUA UNA AKILI KAA NA WENYE AKILI,KUJIONA UNA AKILI KATIKA KUNDI LA WAJINGA NI SAWA SAWA NA MTU KUONESHA SINEMA KATIKA KUNDI LA VIPOFU.
Ama kweli.

"Kitambi bila hela ni sawa na tuta.
na kichwa bila akili ni mzigo kwa kiwiliasante.

Nikusihi kupiga kura Ubarikiwe 🙏🙏 usisahau kupiga kura/vote.
asante.
 
Habari na karibu katika fikra za kujilisha ufahamu na kuelimika...

Nakuletea andiko story for change Ndimi mwandishi wako Jeef George andaa mawazo ,uelewa na maswali yenye kufumbua mboni za watu wengi waliofungwa na jera ya umasikini,katika andiko hili uliza tujemge hoja zenye kuleta mabadiliko katika jamii.
Asante endana nami pamoja kubadilisha fikra za watu wengi!
View attachment 1949005
Kuwa gerezani haimaanishi kuwa wewe ni mfungwa, la hasha.
Na haidhinishi mtu aliyeuraiani kuwa ati si mfungwa huo uongo.
Hebu tumuache EL CHAPO NA ESCOBAR,kufungwa katika magereza kwa uraibu wa madawa ya kulevya,akina zodiac the killer, akina Irich Ramirez Sanchez (Carlos) au Carlos the Jackal,Kobi mowart,ni watuku wengi waliowahi na hata wakiionja jela,tukimuacha zodiac aliyeshindikana.

Kuna watu wako jera ila wapo huru kifikra,na kuna watu wapo uraiani ila wako jera kifikira.

#Nasemahivijerayamasikini

Jera ya masikini ina mahakimu wawili watiaye nguvuni masikini.Si umasikini wa pesa hapa,ni umasikini wa fikra.

1.Jaji Njaaa
2.Jaji Mazoea

Njaa
. Jaji huyu anamuhukumu mnyonge huyu masikini kwa kosa la kuwepo mashahidi wake kama vile;
Hainihusu.
Nitafanye.
Navumilia.
Nimezoea.
Walewale.

Mazoea
Jajihuyu humtia nguvuni masikini kwa uwepo wa mashahidi kama;
Atakuwa.
Anajua nini.
Acha akome.
Atajiju.
Ananini.

Majaji hawa huambatana na DPP anaeitwa sichezewi.Hapa ndo una kuta mtu flani kwa mwonekano ni mtu,ila ana weza kuwa jitu maana ni liharifu lililo katika gereza la uvivu wa kufikiri,unaojitokeza dhahiri kwa kushangilia mateso ya wengine,shida za wengine na kushabikia upumbavu wa kufikiri dhidi ya wenye bongo waliopo darasani.
Ogopa sana mtu wa milembe kuonekana anahuzunika au kulia na ukimsogerea ukimuhoji kwanini analia,nae atakwambia anamuonea huruma mgonjwa wa kichaa àliyeko ñae milembe,bila kujitambua nae kumbe ni kichaa pia,hapa naonesha kuwa kila mtu hujiona ana akili kuliko wengine.

UKITAKA KUJUA UNA AKILI KAA NA WENYE AKILI,KUJIONA UNA AKILI KATIKA KUNDI LA WAJINGA NI SAWA SAWA NA MTU KUONESHA SINEMA KATIKA KUNDI LA VIPOFU.
Ama kweli.

"Kitambi bila hela ni sawa na tuta.
na kichwa bila akili ni mzigo kwa kiwiliasante.

Nikusihi kupiga kura Ubarikiwe [emoji120][emoji120] usisahau kupiga kura/vote.
asante.
Upo vizuri sana

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom