Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Hii ni kwenye video mpya ya JLo inayokwenda kwa jina la "Booty".
JLO ameshapitwa umri umeenda haya mambo awaachie kina ARIANE GRANDE.Video hiyo ndio kwanza inatoka, icheki hapa
Wanatangaza biashara ya makaliowameharibu kivip
JLO ameshapitwa umri umeenda haya mambo awaachie kina ARIANE GRANDE.
Hii amechemka sio kuharibu tu
wameharibu kivip
Hakuna kitu kibaya kama kuharibikiwa ukubwani au uzeeni ni bora uwe chakalamu utotoni hadi unafikia uvulana mpaka ukubwani unakua umetulia kuliko wale ambao wanaharibikiwa ukubwani/uzeeniHARUFU uko sahihi, hii video kaiweka jana youtube, leo inakaribia viewers milioni 18, na atu wengi wanamshangaa sana huyu mama kwasababu hata alivyokuwa kijana hakucheza video za hivi. Labda uzee unamjia vibaya.
HARUFU uko sahihi, hii video kaiweka jana youtube, leo inakaribia viewers milioni 18, na atu wengi wanamshangaa sana huyu mama kwasababu hata alivyokuwa kijana hakucheza video za hivi. Labda uzee unamjia vibaya.
Kazeeka aisee. Pamoja na mbwembwe za vilainisha ngoz lakin bado ngoz ya kuzeeka na mikunjomikunjo. Kwenye filamu ya Anaconda na angalau album ya nyimbo kama If You Had My Love tunawezA kusema alikuwa mdada. Kwa sasa mtu ana ove 44 lakini bado ovyoooo!
VEVO baadhi ya sehemu angeweka japo kivuli lakini cha ajabu kaitundika bila ya chenga na anafahamu fika kuwa watoto lazima watatembelea, lakini ingekua Hiphop hapo sehemu za maneno makali yangekatwamasai dada, hii video haifai kuangaliwa na watoto
masai dada, hii video haifai kuangaliwa na watoto