Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
- Thread starter
-
- #41
Hii thredi inahusu nn!
Mambo ya itikadi yatakata stimu
M-o-o-o-o-ds!
mods mko wapi? eee...mwe!
toeni huu uzi tafadhali.........
mgombea mwenyewe anatoka kanda ya kaskazini
Report post mods waiondoe
je first gentlemen huwa yupo?
Poa moyo kijana, huyo mama ni mjane, mme wake mr. Mhagama (Eng.) alifariki kitambo. Kama unahusudu wajane jitose tu jamaa yangu.
Hahaha ikitokea huwa anaitwa second gentleman..
branch!
Huyo ni kama mama yako uwe na heshima!! Lazima tuheshimu viongozi wa serikali.
M-o-o-o-o-ds!
mods mko wapi? eee...mwe!
toeni huu uzi tafadhali.........
Huyo mgombea Urais akishinda hatamaliza term moja, Bendera nusu mlingoti
UNASHINDWA KUELEWA NINI NDUGU,mbona hiyo ni chakula ya 'MKULU'.Anzisha bahati yako upambane na mkulu.