Mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Peramiho (Ruvuma) kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Jenista Mhagama Oktoba 25, 2025 wakati aliposhiriki kwenye Bonanza la Afya, wilaya ya Songea vIjijini llilofanyika katika uwanja wa Tamasha, Peramiho, alitoa wito kwa vijana ifikapo Oktoba 29, 2025 kujitokeza katika vituo vya kupigia kura na kutimiza haki yao ya kikatiba kwa kuchagua viongozi kuanzia ngazi ya Urais, Wabunge na Madiwani ambao watashirikiana pamoja katika kuwaletea maendeleo
Alisema kuwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea vijana wapo wengi, hivyo kupitia bonanza hilo amewataka kufikisha ujumbe huo kwa vijana wengi zaidi ili waweze kutambua umuhimu wa zoezi lililo mbele yao