Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,668
- 3,750
Jana kwenye sherehe ya wafanyakazi pale Dodoma nimemshangaa sana huyu mama maana ameishia kusema anayo mambo matatu bali aliishia kusifia.
Huyu ni waziri ambaye hajui hata changamoto za wizara yake? Eti anasema yeye anataka akakae asubiritu kuagizwa,nimejiuliza kwani yeye hazijui changamoto na kutoa maoni yake juu ya changamoto hizo?
Kuna umuhimu gani wa yeye kuwa waziri kumbe anakaatu haifikirishi akili?
Tena mama anamuita bosi wake baba askofu, yaani mama huyu apewe kazi anayoiweza.