TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

Terrible Teen

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
1,182
Reaction score
3,441
Mbunge wa Peramiho Jenister Joachim Mhagama amefariki leo asubuhi. Alianguka ghafla kisha kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Alifariki kwa sasa mwili umepelekwa Benjamin Mkapa Hospital. apepe.

Ikumbukwe Jenister Mhagama alikuwa waziri wa Afya wakati wa matukio ya Oktoba 29, 2025.
1765439647654.png


1765439292972.png
 
Mpango, Tulia, Majaliwa, Bashe, Ummy, Bashungwa, Tax,Jaunary na Nchimbi be careful!!

Bahati mbaya hata mkifa hakuna mtetezi maana mlikumbatia mfumo mfu wa kifisadi!!

Wanamtandao kizimkazi hawatanii, Shetani Hana rafiki!!
 
Back
Top Bottom