Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu na Bunge na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Jenista Joachim Mhagama aiteka Songea vijijini katikati Ziara yake ya siku 8 Jimboni Peramiho
Mh!!!!!!!!!!!!!Anakumbuka shuka asubuhi?Haya Karibu Songea.Ni wakati wa palizi sasa sijui shamba lako ulikumbuka hata kulivuruga kidogo........Au unategemea kuvuna pasipo kulima.................Haya karibu bibiye...........