Jenista Mhagama aiteka Songea Vijijini

Jenista Mhagama aiteka Songea Vijijini

Safi sana mama wapinzani hawaoni ndani harakati zako waue CDM!

Wachawi siyo lazima waruke na nyungo.Huyu mama nikati ya watu waliowaingiza wakulima wa jimbo lake kwenye mkata wa kinyonya eti "Wanakubali kuuza mahindi kwa mkopo na wanaapa kuwa hawatadai pesa zao wala kuandamana ili kushinikiza walipwe"

Ameharibu vijana kwa kuwazamisha kwenye ulevi baada ya kuwajengea vilabu vya pombe ya kienyeji.
Kwalipi jema amefanikisha na anaweza simama mbele na kujivunia?

Achakutumika,ndugu zako wanaangamia.
 
Acha pumba
 
Back
Top Bottom