kilombero yetu
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,004
- 117
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu na Bunge na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Jenista Joachim Mhagama aiteka Songea vijijini katikati Ziara yake ya siku 8 Jimboni Peramiho
Hana jipya songea wasiwe wajinga, CCM ni wezi na hao kina mhagama ndo wezi wenyewe. Uko wapi utajiri wa nchii hii ktkt ya watu masikini kama wanasongea???
uliza kafanya nini ili kuondoa umaskini na sio chuki za bureHana jipya songea wasiwe wajinga, CCM ni wezi na hao kina mhagama ndo wezi wenyewe. Uko wapi utajiri wa nchii hii ktkt ya watu masikini kama wanasongea???
Baba wa Taifa, Kawawa, Sokoine, Mama yetu Jenista, unamashaka na utendaji waoSasa unataka uulizwe ili useme hakuna??? inafahamika kuwa CCM haijafanya kitu popote isipokuwa wizi wa mali ya umma
Mama yetu ni miongoni mwa wabunge makini nchini
-- Songea sio maskini shida ni uvivu wa baadhi ya wazawa walizoea kupewa na wamissionary wanaona kama kujibidisha katika kazi sio haki yao. Maduka mengi pale Songea mjini ni ya watu wa mbali (wachagga, wakinga) wenyeji bado.
-- Huyu mama labda alisaidia kuwasogeza nyumbani waalimu wazawa, wakati wa kupangwa kwenye ajira aliwaambia wampe majina na asilimia kubwa walipangwa huko kwao
ki-ukweli bado ana kazi ya kufanya, fursa kibao ila hajawafumbua macho wangoni wenzake
Hivi kwanini viongozi na wananchi wengi hapa TZ tunapenda sana Masherehe na Machelekocheleko? Ukiangalia muda na resources tunazopoteza kwa mambo hayo ni aibu...
-- Songea sio maskini shida ni uvivu wa baadhi ya wazawa walizoea kupewa na wamissionary wanaona kama kujibidisha katika kazi sio haki yao. Maduka mengi pale Songea mjini ni ya watu wa mbali (wachagga, wakinga) wenyeji bado.
-- Huyu mama labda alisaidia kuwasogeza nyumbani waalimu wazawa, wakati wa kupangwa kwenye ajira aliwaambia wampe majina na asilimia kubwa walipangwa huko kwao
ki-ukweli bado ana kazi ya kufanya, fursa kibao ila hajawafumbua macho wangoni wenzake
Acha unafiki wako wewe, songea hakuna mvivu
Mkuu unatokea Songea upande gani?
Niko hapa mjini bomba mbili