Jenista Joakim Mhagama

Jenista Joakim Mhagama

In March 2007, Dr. Kazibwe married prominent Ugandan businessman and long term boyfriend Habib Kagimu.
 
In March 2007, Dr. Kazibwe married prominent Ugandan businessman and long term boyfriend Habib Kagimu.


U have no idea wot ur talking abt..... umekurupuka na kukuimbilia copy and pate tu bila hata kuusoma mjadala vizuri.

Ushauri wa bure: soma tena halafu utaona ulicho copy na ku paste kinathibitisha niliyo yasema!
 
Mkuu,

Acha kutu tukania dada na mama zetu, usaliti katika masuala ya ndoa unatokea kwa pande zote mbili waume na wake na usichukue isolated cases na kuwahukumu watu wote. Umetoa mfano wa rafiki yako alie msomesha mkewe mpaka chuo kikuu na baada akamsaliti mumewe iweje case hiyo moja au kama kuna nyingine 100 ndio iwe hukumu kwa akina mama zaidi ya milioni 20 Tanzania? Je na mimi nikitoa mfano wa "rafiki" yangu alianza ground zero na mkewe na baada ya kupata ulaji akamtupa na kuchukua totoz itatosha kuwa ni hukumu kwa wanaume wote?

Ni muhimu tuwe makini katika masuala ya ndoa za watu hili jamvi ni kubwa na linasomwa na wengi, sikutarajia mtu calibre ya Philemon Michael kutoa maoni ya ki ze utamu utamu. Tokea awali ulianza kupotosha na kumtaja mumewe Ghasia kwa jina silo umesahihishwa sasa unakuja na blah blah za "rafiki" yako.

.....nadhani umesoma kwa makini maoni yangu ...opening remark niliyotoa ilihusu ...kina mama ambao huwaacha waume zao pale wanapokuwa wakubwa[hasa nikishangaa kitendo cha mumewe kuwa ubalozini india wakati ambako ndio angetakiwa aendelee kumtia nguvu mkewe.,though that is too personal]......lakini ungeeenda mbele zaidi conclussion niliyotoa siku generalize ..nilisema wazi kuwa sio wanawake wote wanaowakimbia waume zao ...na nikasema wazi kuwa wanaume ndio wanaongoza kwa kutelekeza wake zao...ingawa mwanamme akitelekeza hurudi muda woowote tofauti na mwanaume akitelekezwa yeye huamua kutoa talaka kabisa...kama ilivyotokea kwa engneer kazibwe...alipotupiwa virago nje na makamu wa rais wa uganda[aliyekuwa]...
 
..mila na tamaduni zetu ziko harsh sana kwa wanawake wanaotembea nje ya ndoa zao.

..wanasiasa wanaume wa Tanzania wako immune na hizi kashfa za kutembea nje ya ndoa.

.kwa mfano: kuna mchangiaji hapa alikuja na kuwalaani wanafunzi wa kike wa UDOM kwa kujiachia-achia wakati wa vikao vya Bunge. kitu cha ajabu kabisa hakuelekeza lawama zozote zile kwa waheshimiwa wabunge wanaume wanaosemekana kutembea na wasichana wa UDOM.
 
..mila na tamaduni zetu ziko harsh sana kwa wanawake wanaotembea nje ya ndoa zao.

..wanasiasa wanaume wa Tanzania wako immune na hizi kashfa za kutembea nje ya ndoa.

.kwa mfano: kuna mchangiaji hapa alikuja na kuwalaani wanafunzi wa kike wa UDOM kwa kujiachia-achia wakati wa vikao vya Bunge. kitu cha ajabu kabisa hakuelekeza lawama zozote zile kwa waheshimiwa wabunge wanaume wanaosemekana kutembea na wasichana wa UDOM.
HESHIMA aliyonayo Mwanamke ni kubwa kuliko Mwanaume.
Ndiyo maana Mwanamke AKIFANYA JAMBO basi linakuwa JAMBO.
 
Naungana na machungu ya Jeanista kubeba kilio cha watumishi wake, lakini nasimama na Hawa Ghasia kwa mujibu wa rekodi za utumishi, waliajiriwa wakiwa darasa la saba, wakajiendeleza wengine mpaka form four, wengine form six, rekodi zao hazikupelekwa utumishi, hivyo mpaka leo ni darasa la saba.
Kwa mijibu wa Programu ya Kuboresha Utumishi wa Umma, PSRP, serikali, haitoi tena ajira kwa darasa la saba. Na wa kidato cha nne, lazima wawe wamehijimu kijikozi chochote kingine.
Wale form four karibu wote wasio na kijikozi chochote, wamesukumwa kusoma vijikozi hata mshenzi ili kulinda ajira zao. Walioshindwa, wamepunguzwa kazi.
Ili kuwalinda wale darasa la saba waliopo serikali, serikali imeanzisha programu ya PPP inayohushisha makampuni binafsi kuwachukua ma std7 wote na kuwaajiri, halafu wanaendelea kutoa huduma serikalini kupitia hizo kampuni ajira.
Utakuta kazi za umesenja, ulinzi, mapokezi, zote zimehamia sekta binafsi. Secretarial ndio zinafuatia.
Watu wabaya dunia hii,
wamemnanilii huyu mama wa watu

RIP JJM

P
 
Kwani ndio ile ile TEC....connection na Bro VP connection ?? Alikuwa front sana kwa kaka yake 2030 wanasema eti zamu yao wana kunyumba.....daaaa wapii mtandao wabayaa
tusubiri hatma ya Mwambe!
ala
ila hata wafanye nini,liwalo lazma liwe, huwezi kuzuia!
P
 
huyu hawa ghasia wala asiwape shida jamani...analeta nyodo kwa sababu kikwete ni shemeji yake..salma kikwete na hawa ni mtoto wa mama mkubwa na wa mama mdogo..kwahiyo they are sisters...kwahiyo anakuwa na nyodo na kudharau tu kwasababu anajua hakuna atakalofanywa..kama mnakumbuka wkt wa uchaguzi kwe jimbo lake kusini huko hadi wanachama wa ccm wenyewe walikuwa hawamtaki kwasababu hawamjui..na amebebwa na kikwete na mama kikwete..kama mnakumbuka mama kikwete alikuwa atumia muda mwingi sana kule kumsaidia huyu bibie ashinde..ni dada yake..na hadi wanachama wa ccm wakalishwa kiapo..nadhan mwaikumbuka hiyo wadau..basi habari ndiyo hiyo...huyu hawa ghasia aliposhinda kwa kubebwa na kuibwa kura akapewa na uwaziri..kwahiyo sidhan mtu kama huyo atafanya kazi..keshazoea mambo ya kubebwa bebwa tu..na kwa taarifa nyingine tu ni kuwa amemtoa na mumewe huko mkoa kusini kwao..alikuwa muhasibu wa kawaida tu huko..nna mashaka na shule ya mumewe..saivi mmewe kavutwa na kuwekwa pale hazina...huyo ndiyo hawa ghasia...kwakweli analeta GHASIA SANA
Kamtandao kumbe
 
Weye wamfahamu vyema huyu dada. Mimi nilisoma na kaka yake, ambaye pia alikuwa rafiki yangu. Kwa jinsi hiyo nami nimemfahamu huyu mbunge wetu wa Peramiho toka akiwa shule ya msingi.

Alikuwa nyumba ndogo ya Sumaye. Labda ndiyo sababu ya kutofautiana na mumewe? Mnaotokwa na udenda, karibuni.

Katika sakata la sasa na waziri mwenye ghasia, kuna mambo kadhaa yawezekana. Mosi ni personal bifu. Maana wote wawili hawajambo. Huyu Ghasia namfahamu kiasi, kwani tumekuwa wote pale Mzumbe, japo katika nafasi tofauti. Madaraka ni uwezekano mwingine pia.

Kila mmoja anajidai kwa sababu ya nguvu zilizo nyuma yake. Jenista anaamini anaweza kusonga mbele zaidi ya pale alipo. Suala la kuukosa ubunge sidhani kama lipo. Labda huko kwenye kura za maoni. Lakini huko Peramiho, she is their queen. Wapiga kura wake hawawezi kuelewa kama Jenister hatagombea tena.
Mtoa mada kaanza na majina uliyoyasema tunaendelea kuunganisha maneno
 
Back
Top Bottom