Jengo laungua moto Kimara

Jengo laungua moto Kimara

Ha haaa. Wateja hawanywi bia, so watu wanaamua kizitia kibiriti wakachukue mafao yao bima... Hii ni Conspiracy theory yangu...
 
Wanabodi habari za asubuhi!

Nimepita sasa hivi hapa Morogoro Rd maeneo KIMARA TRA, kuna jengo kubwa nyuma ya OFISI ZA TRA KIMARA linawaka moto.

Kwa macho ya mpita njia, moto ule ni mkubwa sana. Nikiwa kama mpita njia sina info za ziada.
Mkuu ni bar kubwa ya makuti paa lake ilikuwa inawaka moto lile paa na fire kwa bahati nzuri wamewahi hivyo wameshazima ila vitu vimeungua ni kweli moto ulikuwa mkubwa
 
Kwa walipo maeneo ya kimara baruti tuambieni kinachoendelea kwenye huo moto mkubwa unaoteketeza Nyumba hapo karibu na Bahama mama
 
TUMEIPOTEZA BAR YETU PENDWA HAWII ila naona hatimaye moto umedhibitiwa ingawa umeiangusha kabisa.

Poleni sana wapenzi wa EPL maana huwa kuna kijiwe murua kabisa cha kuonesha mpira huku, walevi wakijiburudisha.
6ea0a95d96bf756ab44d647579014a34.jpg
45c828c7351c3380a1b89acbcfac292d.jpg
1df20f950983fc221095f972061be14b.jpg
43ca98b156f344d8615d73834b82f011.jpg
 
Hiyo bar ya zamani tangia niko primary mpaka nimekuwa mmama......
Mama nani waitwa au mama wa umri?
Atairekebisha upya ndo ilikuwa sehemu ya kupumzika/kunywa na kucheki mpira kwa sisi wengine.
 
Mama nani waitwa au mama wa umri?
Atairekebisha upya ndo ilikuwa sehemu ya kupumzika/kunywa na kucheki mpira kwa sisi wengine.
Mama wa handsome boy mmoja hivi amazing........
Ah sie tulihamia baruti 1995 tumehama 2010 kwahiyo hapo napajua vizuri sana.
 
Yes ni baa ya hawaii kimara baruti,,nyuma na ofisi za tra...leo asubui kulikua na shoti ya umeme ikasababisha moto,na mitungi ya gesi nayo ilisababisha moto kua mkubwa zaidi...walevi wote leo walishika ndoo za maji hapa
 
Back
Top Bottom