Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,655
- 8,584
sipo eneo la tukio naanzaje kupga hiyo simusi upige hiyo 114 hata wewe
sipo eneo la tukio naanzaje kupga hiyo simusi upige hiyo 114 hata wewe
Nlikuwepo eneo la tukio..nimecheka sana wengine wamechota hadi kwenye vidimbwi barabarani kweli walevi wana umoja heavyYes ni baa ya hawaii kimara baruti,,nyuma na ofisi za tra...leo asubui kulikua na shoti ya umeme ikasababisha moto,na mitungi ya gesi nayo ilisababisha moto kua mkubwa zaidi...walevi wote leo walishika ndoo za maji hapa