Jengo la TANESCO Arusha lakosa umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jengo la TANESCO Arusha lakosa umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kipindupindu, Oct 27, 2011.

 1. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hii nimeikuta juzi wakati nikiwa kwenye foleni ya kulipia bili yangu pale makao makuu ya Tanesko mjini arusha.huduma kwa wateja zilisitishwa kisa umeme umekatika.
  my take;kumbe mgao unawagusa wagawaji wa umeme??!!!
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ile ofisi imekaa kama siyo ofisi ya Tanesco yaani hata genereta la dharura hawana kabisa!
   
 3. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ... It has always been like that !! .. and.. you don't have to believe this but they are very comfortable!!
   
 4. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hawa watu hawako serious hata kwenye ofisi zao sasa sijui watawezaje kuhudumia wananchi.
   
Loading...