Jengo la International House lawakamoto!!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,951
Reaction score
9,468
Jengo la International House limewaka moto ghorofa ya Pili Katika office za Standard Chartered Bank
=========================UPDATE==========================
Moto umetokea katika Office za Knight Frank na ulisababishwa na mfanyakazi aliyechoma karatasi na moto kumzidia!Hivyo siyo Ghorofa Pili Katika office za Standard Chartered Bank Kama ilivyo reportiwa mwanzo kwani nimetoa uzi huu nikiwa kwenye assembly point kabla ya kujua moto ulikuwa floor gani!!
 
Vp hali ikoje eneo la tukio labda kuna madhara yeyote yaliyosababishwa na moto huo?
 
Na lile eneo lilivyo dogo, sijui hata kama wana emergency exit wale...
 
Jengo la International House limewaka moto ghorofa ya Pili Katika office za Standard Chartered Bank.

Duh benki hii si ndio imetumika kulipia IPTL?

 
Kaka sisi wapenda picha bado hujatutendea haki, umeweka picha lakini haina mashiko kusupport habari. Anyway thanx for information
 
Weka picha ya jengo linavyoungua basi..
 
Mungu awasaidie kusiwepo majeruhi wowote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…