Jengo la Ibada limeuzwa Kariakoo

Jengo la Ibada limeuzwa Kariakoo

[/I][/B]

Dalili za fedha kupotea zinatokana na alivyosema mchungaji wa kanisa hilo kuwa,wanataka kujipanua kwa kununua eneo lingine bila kutaja eneo jipya linauzwa sh ngapi na liko plot gani Kariakoo.

The church is not obligated to advise the congrigation of the interim place momentarily, if you are a leader basi utanielewa, after the church leadership reaches a certain conclution/agreement, thereafter, they will advise the members of the church what are their options and what they think is best for the church.

Kanisa lina bodi, na hiyo bodi ndio kazi yake kufanya machunguzi yote kabla ya kuwaeleza waumini wa kanisa. Kiongozi yeyote yule atanielewa ninasema nini.
 
mission yao ya huduma ni nini?
kama lengo ni kuwavuta wengi kwa Yesu, kwa nini waliuze?
sidhani kama Kariakoo kuna kanisa lolote la Assemblies of God zaidi ya hilo.
Naona kama Kristo ameibishwa ki aina fulani vile!!!

Kazi ya huduma ya Yesu ni kutangaza Injili ya Bwana wetu Yesu Kristo kwa Mataifa yote. Sasabasi, kama huduma imekuwa na sehemu haitoshi tena, kwanini wasitafute sehemu kubwa na kujenga Kanisa lenye uwezo wa kubeba watu wengi?

Maono yeyote yale, huwa hayapendwi, kwasababu watu huwa wanaridhika na kidogo walicho nacho, hili ndilo tatizo ninalo liona hapa. Watu hawataki kukuwa wakati huduma inakuwa.

Zaidi ya hapo, ni nani amesema kuwa mahali pekee Yesu Kristo anapoweza kutangazwa ni Kariakoo pale kwa Rupia? Na ninani amesema kuwa Yesu Kristo atatangazwa Kariakoo na TAG pekee?
 
nakubaliana na eneo kuuzwa kwani lilikuwadogo nafasi akuna ila ninachopinga nijinsi lilivyouzwa bila ya wao kuwa na eneo lingine kwann wasingekodisha kwa mkataba kama wengine na mnunuzi akawatafutia eneo lingine nakuwajenge kanisa lingine nje ya mji kwenye eneo kubwa zaidi au watu wamepewa 10% waruhusu fasta
 
nakubaliana na eneo kuuzwa kwani lilikuwadogo nafasi akuna ila ninachopinga nijinsi lilivyouzwa bila ya wao kuwa na eneo lingine kwann wasingekodisha kwa mkataba kama wengine na mnunuzi akawatafutia eneo lingine nakuwajenge kanisa lingine nje ya mji kwenye eneo kubwa zaidi au watu wamepewa 10% waruhusu fasta

Majengo mengi/yote ya ibada ya hizi imani zetu yalijengwa ktkt ya mji pale kwa sababu ya mazingira yaliyokuwepo na ukubwa wa mji ulivyokuwa. Angalia Anglican,KKKT,RC, msikiti wa Bibi Titi nk, au nenda pale Lindi Street kwa Pentekoste, majengo ni madogo,walichofanya ni kuhamasisha ujenzi wa majengo makubwa nje ya mji na yale yanaachwa kwa ajili ya wakazi wa ktkt ya mji.

Kwa taarifa ni kwamba waumini wanaojaza hayo majengo wengi hawakai hapo k/koo wanatoka nje ya k/koo. Hii haijakaa vizuri hata kama ni uamuzi wao. Si ajabu utasikia wamepata kiwanji bonde la Msimbazi. Haya ni maoni tu.
 
nakubaliana na eneo kuuzwa kwani lilikuwadogo nafasi akuna ila ninachopinga nijinsi lilivyouzwa bila ya wao kuwa na eneo lingine kwann wasingekodisha kwa mkataba kama wengine na mnunuzi akawatafutia eneo lingine nakuwajenge kanisa lingine nje ya mji kwenye eneo kubwa zaidi au watu wamepewa 10% waruhusu fasta

Lord have mercy.

I don't see any merits for the purchaser to locate and buy a building for TAG. He is a buyer. If there was a stipulation of agreement stating that it is a purchaser's obligation prior to closing of the property to buy a building for seller, and purchaser breached that and the file closed, then, someone has the right to question the transaction.

Nafikiri ni kitu cha kawaida sana kwa any institution to sell a building for the benefit of said institution.

Umeuliza swali, kwanini wasinge kuwa na eneo lingine kabla ya kuuza jengo la pale Kariakoo. Swali wako, don't you think that it is imperative and ethical for someone to have money prior to purchase/ing anything? Ni Kiasi gani Kanisa lilikuwa nazo kabla ya kuuza jengo? Kwanini tulaumu uuzaji wa jengo, wakati tukijuwa fika kuwa, labda Kanisa lilikuwa halina fedha za kutosha ndio maana ikawabidi wauze walicho nacho, ili wapate fedha za kununua eneo na/au jengo lingine?

I think it is a shame and sad to jump to certain surmise without having enough evidence to support our requisitions.
 
Huko kwingine wanakotaka kwenda kumhubiri Yesu nje ya kariakoo ambako hajahubiriwa ni wapi? Hebu tuondoleeni uvivu wa kufikiri hapa. Labda kama mnataka kurudi vijijini mwakwenu mlikozaliwa huko ningeweza kukubaliana na ninyi kwani injili haijaenea kwa kiwango cha kurizisha. Lakini kama ni hapa Bongo bado itakuwa mnadumisha kale ka mradi ka kuwezeshana kimapato na wala sii injili. Kwani hao waumini ni wa pasto wa hapo kariakoo au ni wa Bwana. Na kama ni wa bwana kwanini wasitawanywe ktk makanisa ya hapa Dar na mchungaji na watenda kazi wakaanza kazi ya kuwaleta kondoo wapya zizini hapo kariakoo? Au anahofia kupoteza jembe(mtaji) makanisa ya kipentekoste kwa jinsi nilivyoyastady hakuna mchungaji anaemwamini mwenzake. Unaweza ukafikiri kila mchungaji ana mungu wake anaetofautiana na wa mchungaji mwingine. Na mara nyingi utawasikia wakijinadi kwa kutumia neno Mungu wangu na akubariki. Na hiyo inatendaka kwa shabaha mahsusi ya kulenga kwamba mungu wake na wa mwingine ni tofauti na hawaaminiani. KANISA NI NINI? NA NI NANI ANADANGANYA KUWA KANISA NI MCHUNGAJI NA VIONGOZI NA HIVYO KUWAMILIKISHA UTASHI WA WAAMINI NA KUJIWEKA MAHALA PA UPATANISHI KATI YAO NA MUNGU MAHALA PA BWANA YESU? Acheni hizo hamnayo damu iwezayo kuwa dhabihu madhabahuni pa mbinguni ila ya Yesu. Hakuna cha papa, kadinali, askofu,mchungaji mzazi wala mnyenyekevu awae yeyote, wote tumekuja duniani kwa njia ile ile moja.
 
mie ningewashauri hio hela wakatafute kiwanja nje kidogo ya kariakoo ambapo watapata kwei nafuu na kiwanja kikubwa.wajenge kanisa kubwa zaidi ya mwanzo na wanunue mabasi ambayo yatawachukua waumini wao kutoka sehemu ya zamani(kariakoo) na kuwaleta kantika kanisa jipya na kuwarudisha bila malipo yoyote.hela ni nyingi mno iliopatikana na inawezekana kufanya hivyo na wataweza kuongeza waumini wengine kujiendeleza.
 
Kwa mauzo haya watakuwa wamepata asilimia 100 ya faida kwani walipokuwa wanatafuta kiwanja kununua kwa ajili ya kanisa (late 70s) walifanikiwa kutambulishwa kwa mwenye kiwanja (Marehemu Mzee John Rupia) naye akawapa kiwanja kile bure.
 
Back
Top Bottom