Jengo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) lawaka moto

Mapengo 17

R I P
Mar 28, 2014
1,232
610
Nimepata taarifa kwamba Chuo Kikuu cha Dar es salaam kinateketea kwa moto muda huu. Sijapata maelezo ya kina juu ya ajali hiyo ya moto.

Mwenye taarifa zaidi tunaomba atujulishe.


attachment.php

 

Attachments

  • Chuo.jpg
    Chuo.jpg
    50.3 KB · Views: 8,670
mmmm ila hayo majengo ni ya udom vile tunaomba habar zaid
 
Sasa kama huna taarifa zaidi kuna haja gani wewe kuleta thread hapa? Au ndio nyie mnaotaka kila kitu muonekane wa kwanza Kuripoti?
 
Hizi taarifa zina ukweli kiasi gani?

Tangu mtoa mada aweke thread hii, ni masaa matano sasa yamepita pasipo taarifa kamili
 
Back
Top Bottom