Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
Twende na lowasa,sina imani na CCM
Wameenda wapi? Au wamekuja Lumumba kwenye Kikao cha kamati kuu?
Ukawa tukichukuwa nchi oct saa mbili asubuhi tunalitaifisha na kuwa la wananchi yaani la serikali.
Ha ha ha ha naisubili kwa hamu sana siku hiyo , labda mje wa wanachama kutoka Dodoma.Sio kweli CCM bado ipo Arusha na inaendelea na maandalizi ya kampeni pamoja na kumpokea kwa kishindo mgombea urais
Maoni yangu kuh hilo jengo UKAW walikodishe kama jeuri ipo..
weka ofisi yako ya chadema pia tuione acha porojo we kibaka.
Sio kweli CCM bado ipo Arusha na inaendelea na maandalizi ya kampeni pamoja na kumpokea kwa kishindo mgombea urais
Ha ha ha ha naisubili kwa hamu sana siku hiyo , labda mje wa wanachama kutoka Dodoma.