Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

12EF5ABC-4402-4B1C-8F6F-D7EAA7EB8CC8.jpeg
 
Jengo hili ndilo litakuwa tallest residential tower in Africa. Yaani jengo refu zaidi ya makaazi Africa. Kuna watu watakuwa wakiishi kuanzia floor ya chini hadi ya juu kabisa ya 44.

Jengo lenyewe litafanana hivi litakapokamilika

Video ya zege kumwagwa kwenye foundation ndio hii

unalimiliki hilo jengo mzee, kuna sent yeyote itaingia mfukoni mwako kwa kulipangisha, unatoa hela yeyote kulijenga, sasa litakusaidia nini, si utafute maisha yako binafsi pengine yatakusaidia? hivi unafikiri watz wapo kwa ajili ya kujadili malumbano ya kupumbavu kama ha ya?
 
Hahaha mbona unaruka ruka ni kama umetiwa kidole? Tuliza nyegyeh.
 
Kama mpaka leo hii wana afrika bado tunazungunzia magorofa bas itoshe kusema we are very poor.....till nowadays kuongelea majengo huo ni umasikin.sana, nchi za wenzet walishatoka kwenye hii awamu ya kushangaa majengo, wako ktk technolojia nyingnezo kubwa ambazo ndzo znawatoa macho raia wao kushangaa how the possibility is,.lkn wakina sie bado tunakimbizana na magorofa...upuuz huu
 
Hii sio ghorofa ya kawaida kama ile ya kariokoo market yenu hapo Dar.
 
Kama mpaka leo hii wana afrika bado tunazungunzia magorofa bas itoshe kusema we are very poor.....till nowadays kuongelea majengo huo ni umasikin.sana, nchi za wenzet walishatoka kwenye hii awamu ya kushangaa majengo, wako ktk technolojia nyingnezo kubwa ambazo ndzo znawatoa macho raia wao kushangaa how the possibility is,.lkn wakina sie bado tunakimbizana na magorofa...upuuz huu
Kawaida yenu mkiona kitu njema Kenya lazima mlipake tope na kutumia kila aina ya neno ili kulidhalilisha. Nyinyi sio wa kwanza na hamtakuwa wa mwisho. Wakati mlijenga lile jengo lenu la TPA na ikawa ndio jengo refu zaidi hapa EA kwa wakati huo mnasahau jinsi liishabikia kwenye huu uzi? Acheni unafik!

unalimiliki hilo jengo mzee, kuna sent yeyote itaingia mfukoni mwako kwa kulipangisha, unatoa hela yeyote kulijenga, sasa litakusaidia nini, si utafute maisha yako binafsi pengine yatakusaidia? hivi unafikiri watz wapo kwa ajili ya kujadili malumbano ya kupumbavu kama ha ya?
 
Wakati mnajenga vighorofa viwili vitatu vitakavyokuja kukaliwa na foreigners, wanaume tunamalizia miradi yetu ya kimkakati itakayomkwamua mwananchi na ugumu wa maisha, Wakenya tazama limradi la ki giant hilo hii inaitwa JNHPP au mkombozi wa EA cz atatusaidia sisi pia na nyie tutawauzia umeme muondokane na stupid endless blackouts
JamiiForums638414027.jpg
JamiiForums-876414806.jpg
JamiiForums-1729062282.jpg
JamiiForums2061269910.jpg
JamiiForums1123655190.jpg

My take: GoK isijaribu kuiga mambo kama haya itauwa wananchi wake, usiige tembo kukunya mafi makubwa, wewe endelea kukunya mafi madogo madogo kwa mfuko
 
Wakati mnajenga vighorofa viwili vitatu vitakavyokuja kukaliwa na foreigners, wanaume tunamalizia miradi yetu ya kimkakati itakayomkwamua mwananchi na ugumu wa maisha, Wakenya tazama limradi la ki giant hilo hii inaitwa JNHPP au mkombozi wa EA cz atatusaidia sisi pia na nyie tutawauzia umeme muondokane na stupid endless blackoutsView attachment 1897065View attachment 1897067View attachment 1897068View attachment 1897069View attachment 1897070

My take: GoK isijaribu kuiga mambo kama haya itauwa wananchi wake, usiige tembo kukunya mafi makubwa, wewe endelea kukunya mafi madogo madogo kwa mfuko
Sasa unatuonyesha mavi hii kwenye wrong thread, si ungepeleka hii kitu kwenye uzi unaostahili?
 
Nilikuwa nawakumbusha tu mpambane kujenga na miradi ya kuitoa nchi yenu kwenye mateso makali, majengo ni miradi midogomidogo kila nchi au hata raia wanafanya, msitegemee tu jirani akamilishe nyie muwe chawa
 
Back
Top Bottom