Jengo eyesore: kuanguka halianguki!

Jengo eyesore: kuanguka halianguki!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Posts
4,777
Reaction score
2,392
IMG_3157.JPG

Kwa vijana wa miaka takriban 25 hawajui hili jengo ni la nini, la nani na kwa nini bado lipo hapo.
Kuanguka halianguki, nasikia makao ya popo wakubwa!!
Kielelezo cha ufanisi wa maofisa fulani serikalini.
 
My God the golden Embassy Hotel!!!! Hivi kweli kuna kesi kubwa kiasi gani ambapo haifanyi hili jengo liwe live? Nasikia kuna siasa zilizunguka kuhusiana na ujio wa New Kilimanjaro Hotel, Holiday Inn, Southern Sun, Serena!!!! Haitafufuliwa milele? Kwa nini ifufuliwe wakati sina share humo? This is Tanzani, truly Tanzania!
 
View attachment 89132

Kwa vijana wa miaka takriban 25 hawajui hili jengo ni la nini, la nani na kwa nini bado lipo hapo.
Kuanguka halianguki, nasikia makao ya popo wakubwa!!
Kielelezo cha ufanisi wa maofisa fulani serikalini.


Wewe afadhali umeiona hii iliyokuwa Embassy Hotel na moyo ukakuuma; mimi kwa kweli hakuna kitu kinaniumiza moyo wangu kama pale nipitapo Mikumi National Park na kuona jinsi Hotel Ya Mikumi iliyokuwa inaendeshwa na TTC kuwa imetelekezwa na kuachwa kuwa gofu kufuata mbinu chafu za mafisadi wa nchi hii!! Serikali imara ilitakiwa ichukue uamuzi kama walivyofanya kwenye kesi ambayo mfanyabiashara wa Tanzania alitaka kuifilisi East African Bank kwa ujanja ujanja tu!! Mikumi Hotel ilikuwa maarufu na ilikuwa inaingiza forex sana kwa nchi.
 
The more you know Tanzania, the more early you are likely to die.
 
Jengo katikati kabisa ya jiji halitumiki - ama kweli ukistaajabu ya Musa!
 
Jengo katikati kabisa ya jiji halitumiki - ama kweli ukistaajabu ya Musa!


Halitumiki ila usije shangaa kuna watu wanaishi humo ndani kiharamu na wanapikia mkaa kwenye jengo kama hili. Tanzania what is impossible kwa mtu wa kawaida hapa we make it possible kwa kulazimisha.
 
Nani kawaambia hiyo hotel haitumiki?
kwa taharifa yenu hilo ni danguro maalufu sana.
kuna wanawake wazuri wanauzwa humo wengi wao ni wanafunzi wa vyuo hasa IFM.
Nend kuanzia mida ya saa6 usiku, ukimkuta jama yeyote mitaa hiyo mwite mnong'oneze kuwa unahitaji huduma.
Atakusindikiza.
 
moto wa kuni ghorofani na wamefuga kitimoto


Sishangai hata kidogo na pengine hata wanafuga misukule humo ndani. Yote haya tisa, kumi piga sachi humo ndani utakuta wasomali wanaishi kinyemela wakisubiri msimu wa bunge uanze wajieendee Dodoma. Wanasema THIS IS BONGO, kuwa uyaone.
 
Nani kawaambia hiyo hotel haitumiki?
kwa taharifa yenu hilo ni danguro maalufu sana.
kuna wanawake wazuri wanauzwa humo wengi wao ni wanafunzi wa vyuo hasa IFM.
Nend kuanzia mida ya saa6 usiku, ukimkuta jama yeyote mitaa hiyo mwite mnong'oneze kuwa unahitaji huduma.
Atakusindikiza.
Du basi mlinzi hapo hata kustaafu hataki!!!!
 
Wewe afadhali umeiona hii iliyokuwa Embassy Hotel na moyo ukakuuma; mimi kwa kweli hakuna kitu kinaniumiza moyo wangu kama pale nipitapo Mikumi National Park na kuona jinsi Hotel Ya Mikumi iliyokuwa inaendeshwa na TTC kuwa imetelekezwa na kuachwa kuwa gofu kufuata mbinu chafu za mafisadi wa nchi hii!! Serikali imara ilitakiwa ichukue uamuzi kama walivyofanya kwenye kesi ambayo mfanyabiashara wa Tanzania alitaka kuifilisi East African Bank kwa ujanja ujanja tu!! Mikumi Hotel ilikuwa maarufu na ilikuwa inaingiza forex sana kwa nchi.

Mifano ya majengo siasa ni mingi kama hili la sinza hadi limeanguka na kupoteza maisha
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1365140559520.jpg
    uploadfromtaptalk1365140559520.jpg
    98.4 KB · Views: 61
Back
Top Bottom