antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,399
- 134,131
Mkuu, tangazo la biashara umeweka hapa hadharani, sasa details unatolea uvunguni tena??
Hii nyumba ina four rooms, kwa detailed drawings za hii nyumba na kuhusu hizo gharama zake mpaka unakabidhiziwa just nichek inbox
Kama hauwezi basi mkuu siwezi kukutajia gharama hapa, sijaona site yake terrain yako ipoje, umbali wa site na materials yanakopatikana, je site inafikika? Otherwise nitakuwa nakurupuka mkuu