Gharama yenu ya kujenga slab ya ghorofa ikoje? Kuanzia form work, nondo hadi zege. Nyumba ina ukubwa wa 13m*12m na ipo Toangoma .Tunajenga Nyumba kwa Affordable labour charges pia tunatoa offer ya kuchora ramani ya nyumba ya design yeyote atakayo customer wetu bure kabisa endapo atatupa contract ya kumjengea nyumba yake.
contact 0758-92 90 87 Dar es Salaam
Mkuu hebu boresha kile unacho tangaza.Tunajenga Nyumba kwa Affordable labour charges pia tunatoa offer ya kuchora ramani ya nyumba ya design yeyote atakayo customer wetu bure kabisa endapo atatupa contract ya kumjengea nyumba yake.
contact 0758-92 90 87 Dar es Salaam
Tatizo kubwa kabisa ni kuwa mafundi utakao watumia kujenga nao wanataka watoke humo humo. Yaani watahakikisha wanaiba sementi, mabati, nondo n.k., je umejipanga vipi kuzuia wizi????? Kwa sababu haingii akilini nikienda ujerumani nakuta majengo ya 1700 yamesimama (ingawa wanafanya ukarabati) lakini jengo la bongo la 2010 leo hii unakuta lina nyufa kibao. Lingine unazuia vipi uwekaji wa vitu fake (yaani unakuta mimi nayejengewa unanipatia bei ya original ila wewe unaenda kununua fake).Tunajenga Nyumba kwa Affordable labour charges pia tunatoa offer ya kuchora ramani ya nyumba ya design yeyote atakayo customer wetu bure kabisa endapo atatupa contract ya kumjengea nyumba yake.
contact 0758-92 90 87 Dar es Salaam
Nimelielewa vizur tangazo lako, na sijakupinga, nimeelezea unafuu mnaousemaga haupo, mpaka hivyo vipengele viwe covered n.kSoma Tangazo vizuri utaelewa...
Nimekupm mkuu.Helo Mkuu...before sijakutajia bei ni vyema nikafika site or nikaona ramani yako ili nijue design ya hiyo form work ya hiyo slab yako...hivyo tunaweza kuwasiliana kwa namba 0758-929087
Naomba hii comment ijibiwe mara moja.Mkuu hebu boresha kile unacho tangaza.
Weka nyumba kadhaa zipe spec zipe gharama... Ili mtu aone kwel ni rahisi hapo ndo atakufuata na kuuliza mazingira yake... Site... Raman atakayo... Lkn hiyo ni baada ya kuona nafuu kwel
Siwezi kufanya hivyo kuweka kila nyumba na Clarification yake ya bei ili kuepuka Debate zisizokuwa za msingi kuhusu hizo bei kama uko seriously just call me
Tatizo wana-Google kama sisi tu.Hivi mbona ramani za nyumba za nchi nzima hua zinafanana tu,konakona nyingi kwenye nyumba,makorido daah hivi hamuwezi wachora ramani kua mnatengeneza ramani za aina tofauti kabisaa na hizi.
Je nikitaka lamani tuuuHakuna gharama nafuu kwenye ujenzi..!!
Bali kuna makubaliano ya kumlidhisha mteja (mwenye nyumba) ambayo ni :
>Fundi asie msumbufu/ anapatikana akihitajika. Akipewa kazi anamaliza kwa wakati.
>Anashauri na anashaurika kwenye kazi.
>Mwaminifu kwenye kazi na vifaa vya ujenzi (Uwizi)
>Ubora wa kazi. N.k
Tatizo kubwa kabisa ni kuwa mafundi utakao watumia kujenga nao wanataka watoke humo humo. Yaani watahakikisha wanaiba sementi, mabati, nondo n.k., je umejipanga vipi kuzuia wizi????? Kwa sababu haingii akilini nikienda ujerumani nakuta majengo ya 1700 yamesimama (ingawa wanafanya ukarabati) lakini jengo la bongo la 2010 leo hii unakuta lina nyufa kibao. Lingine unazuia vipi uwekaji wa vitu fake (yaani unakuta mimi nayejengewa unanipatia bei ya original ila wewe unaenda kununua fake).

Hahah hapi sawa mkuuTatizo wana-Google kama sisi tu.
Ramani ni jambo muhim sana, hakikisha unachagua kwa makin sana kulingana na bajeti vs mahitaji yako (vyumba) vs Eneo/ Kiwanja. Hayo mambo yote yanatemeana na ni muhim kuyazingatia kabla hujaanza jambo lolote.Je nikitaka lamani tuuu