Jenga imani nyuma ya unachoamini

Jeef George

Member
Dec 7, 2019
47
59
Karibu na asante kwa kuwa nami katika andiko hili.
Habarini wanajamii forum!
Natumaini tupo vizuri katika story for change nimekuleteeni andiko la ufahamu ndani imani na mafanikio .

karibu ndimi mwandishi wako jeef george.

tujadili mambo yafuatayo yenye mvuto kimaendeleo,kiuchumi,kijamii na kifikra.

1.
maamuzi binafsi

2. Kujiamini

3.subira

4.ufahamu

1.MAAMUZI BINAFSI
watu wengi wengi wao wamekosa maamzi binafsi nakushindwa kutekeleza,kusimamia haki,kuanzisha na kukuza biashara zao binafsi kwa kukosa maamzi binafsi .

ukitaka kufanikiwa jifunze kujisimamia mwenyeww na kuwa na maamzi binafsi kwa msitakabali wa maisha yako mwenyewe thubutu kutekeleza mambo yako binafsi kwa ubora zaidi,

NB: ushauri unajenga au kubomoa na kushindwa kuyafikia malengo kusudiwa
kwa mfano kiongozi sio lazima awe kiongozi kwa kura laahasha kiongozi unaanza kwa mtu binafsi,uongozi unaanza na wewe (you as you ) elimu nikitu cha ziada kuimarisha.

2.KUJIAMINI

kujiamini sio kujiona wewe ni bora kuliko wengine Bali ni kutambua ya kuwa hauna sababu ya kimantiki kujilinganisha na wengine,kuiga maisha ya watu wengine,kuishi maisha ya kifahari.n.k
Ulikuja peke yako utaondoka peke yako ,Ulitaka kufanikiwa usione aibu ya umasikini wako wala biashara yako unayoifanya kwa sababu ya watu au jamii inayokutazama.
kwani ulivyo ni bora zaidi wakati wa sasa kuliko baadae,umri unasonga miaka inasogea uzee karibuni.
Ili kuaminiwa na jamiii yako inayokuzunguka inahitaji kujiamini binafsi Kujiamini kunaanza na wewe kwanza hatua kwa hatua ndipo utapata kibali na mchango kwa jamii inayokuzunguka.

3.SUBIRA
Usiharakishe sana kupata fahari ya kitambo tu (papo kwa papo).
Hadi jamii iliyopo ikushangae utulivu unahitajika Subira inahitajika ili kuyafikia mafanikio.
Marafiki,jamaa watatamani waone mafanikio yako kwa wakati ,usiharakishe subiri na amini unachokiamini hapo ndipo yalipo mafanikio yako zaidi.

4.UFAHAMU
Ufahamu ndio siraha unayotakiwa uwe nayo kwa sasa na siwakati mwingine .
kwani wakati ulionao sasa ni bora zaidi y aule ujao.
Ufahamu unakufanya utekeleze kwa ubora na weledi kwa kile unachoamini,kuelewa,na kukifahamu
Hata kutokee kikwazo cha aina gani kwa pande yoyote hakukuzui kutekeleza jambo fulani unaloliamini.
Fahamu yakuwa hakuna hata mmoja atayetengeneza familia yako wewe pamoja na mke wako.
Familia imara ni yako Mwenyewe.
Familia imara ni ya baba na mama, ,Baba ndiye Mwenye maamzi na kuchagua maisha yapi bora kuliko mengine.
Baba unatakiwa uwe na maamzi,ufahamu na subira yenye nia ya kutekeleza na kufahamu wajibu wake halisi.

Ufahamu huzaa mabadiliko chanya kwa jamii.
Udhaifu,kutopata elimu bora hakujengi familia, nchi wala serikali.
Ufahamu huimarisha utendaji,uzalendo,weledi,
Kujiaamini ,hutenda kwa weledi bila woga.

Mwisho ipende nchi yako kama familia yako ikijumuisha...Baba na Mama kwani huna nchi nyingine zaidi ya nchi ya mama na baba walikozikwa na kuzaliwa .
FB_IMG_16310182274922656.jpg

Niwashukuru nyote kwa uimara wa dhati .....#stateforLove usisahau kuvote piga kura zaidi na zaidi ubarikiwe🙏🙏🙏🙏🙏

Kwa dawa ya vidonda vya tumbo sugu bofya 👉 Bofya hapa/click here
 
Karibu na asante kwa kuwa nami katika andiko hili.
Habarini wanajamii forum!
Natumaini tupo vizuri katika story for change nimekuleteeni andiko la ufahamu ndani imani na mafanikio .

karibu ndimi mwandishi wako jeef george.

tujadili mambo yafuatayo yenye mvuto kimaendeleo,kiuchumi,kijamii na kifikra.

1.
maamuzi binafsi

2. Kujiamini

3.subira

4.ufahamu

1.MAAMUZI BINAFSI
watu wengi wengi wao wamekosa maamzi binafsi nakushindwa kutekeleza,kusimamia haki,kuanzisha na kukuza biashara zao binafsi kwa kukosa maamzi binafsi .

ukitaka kufanikiwa jifunze kujisimamia mwenyeww na kuwa na maamzi binafsi kwa msitakabali wa maisha yako mwenyewe thubutu kutekeleza mambo yako binafsi kwa ubora zaidi,

Bofya hapa/click here
NB: ushauri unajenga au kubomoa na kushindwa kuyafikia malengo kusudiwa
kwa mfano kiongozi sio lazima awe kiongozi kwa kura laahasha kiongozi unaanza kwa mtu binafsi,uongozi unaanza na wewe (you as you ) elimu nikitu cha ziada kuimarisha.

2.KUJIAMINI

kujiamini sio kujiona wewe ni bora kuliko wengine Bali ni kutambua ya kuwa hauna sababu ya kimantiki kujilinganisha na wengine,kuiga maisha ya watu wengine,kuishi maisha ya kifahari.n.k
Ulikuja peke yako utaondoka peke yako ,Ulitaka kufanikiwa usione aibu ya umasikini wako wala biashara yako unayoifanya kwa sababu ya watu au jamii inayokutazama.
kwani ulivyo ni bora zaidi wakati wa sasa kuliko baadae,umri unasonga miaka inasogea uzee karibuni.
Ili kuaminiwa na jamiii yako inayokuzunguka inahitaji kujiamini binafsi Kujiamini kunaanza na wewe kwanza hatua kwa hatua ndipo utapata kibali na mchango kwa jamii inayokuzunguka.

3.SUBIRA
Usiharakishe sana kupata fahari ya kitambo tu (papo kwa papo).
Hadi jamii iliyopo ikushangae utulivu unahitajika Subira inahitajika ili kuyafikia mafanikio.
Marafiki,jamaa watatamani waone mafanikio yako kwa wakati ,usiharakishe subiri na amini unachokiamini hapo ndipo yalipo mafanikio yako zaidi.

4.UFAHAMU
Ufahamu ndio siraha unayotakiwa uwe nayo kwa sasa na siwakati mwingine .
kwani wakati ulionao sasa ni bora zaidi y aule ujao.
Ufahamu unakufanya utekeleze kwa ubora na weledi kwa kile unachoamini,kuelewa,na kukifahamu
Hata kutokee kikwazo cha aina gani kwa pande yoyote hakukuzui kutekeleza jambo fulani unaloliamini.
Fahamu yakuwa hakuna hata mmoja atayetengeneza familia yako wewe pamoja na mke wako.
Familia imara ni yako Mwenyewe.
Familia imara ni ya baba na mama, ,Baba ndiye Mwenye maamzi na kuchagua maisha yapi bora kuliko mengine.
Baba unatakiwa uwe na maamzi,ufahamu na subira yenye nia ya kutekeleza na kufahamu wajibu wake halisi.

Ufahamu huzaa mabadiliko chanya kwa jamii.
Udhaifu,kutopata elimu bora hakujengi familia, nchi wala serikali.
Ufahamu huimarisha utendaji,uzalendo,weledi,
Kujiaamini ,hutenda kwa weledi bila woga.

Mwisho ipende nchi yako kama familia yako ikijumuisha...Baba na Mama kwani huna nchi nyingine zaidi ya nchi ya mama na baba walikozikwa na kuzaliwa .View attachment 1948524

Niwashukuru nyote kwa uimara wa dhati .....#stateforLove usisahau kuvote piga kura zaidi na zaidi ubarikiwe🙏🙏🙏🙏🙏
Usisahau kupiga kura pia

Nipigie kura ...Bofya hapa/click here
 
Ufahamu huzaa mabadiliko chanya kwa jamii.
Udhaifu,kutopata elimu bora hakujengi familia, nchi wala serikali.
Ufahamu huimarisha utendaji,uzalendo,weledi,
Kujiaamini ,hutenda kwa weledi bila woga
 
God bless you sana piga kura shiriki nami pia share Nina andiko jipya lakujenga ufahamu hamasa na kuielimisha jamii iliyopo katika wimbi la umasikini

Inasema: kuishi bila umasikini wa fikra there is more than one story for change 🙏🙏🙏Bofya hapa/click here
 
Back
Top Bottom