Acha tu mkuu, mimi mwenyewe niliponea chupuchupu kunasa kwenye huu mtego wa ghorofa. Mpaka siku kuna rafiki yangu ni engineer akanikalisha chini akanishushia mahesabu, kisha akanipeleka sehemu akanionyesha kighorofa ambacho kimeshakula 120m na hakijaisha bado. Nikasema huu ujinga sifanyi....!!Siku mie namwaga slab mifuko 116 ya cement inondoka mbele ya macho yangu ndio nilipojua haya maghorofa yote ni kujijaza upepo tuu unless ni for business. Bora ujilie mbususu tuu kwenye nyumba yako ya chini ya mil100. Muhimu kuwe na kipupwe vyumba vyote na maji yanatoka kwa presha basi.
Miaka 6 utumie laki mbili kwa mwezi ili uje kuishi kwenye ghorofa!!! UzuzuKama ana chanzo kimoja cha fedha,inabidi afanye hivi:-
Kujenga atajenga, ila tofauti ni kwenye muda wa kumaliza ujenzi; anaweza kutumia miaka hata 6
- Kwanza inabidi ajikatae mwenyewe,awe bahili
- Asitumie zaidi ya laki 2 kwa mwezi
- Awe na plan ya kujenga ghorofa isiyozidi mita 10 kwa 8
- Kama anakiwanja, aanze kukusanya matirio
- Akifikia kwenye slab, akope benki au chanzo chochote anachokiamini
- Baada ya hapo aendelee na ujenzi na hatimaye amalize.
Hutakiwi kujenga kwa harakaMkuu kwa nchi zetu hizi bado tuna mapori mengi sana hatujafikia kuanza kuwa na umuhimu wa kwenda vertically hasa kwenye nyumba za kuishi. Hata nchi zilizoendelea wanaenda vertically mijini tu, ukiingia interior huko watu wanaishi nyumba za chini kawaida.
Ushauri wangu:
Kama una chini ya Tsh 100m isiyo na mawazo, usije hata ukawaza kujenga ghorofa! Kwa chini ya pesa hiyo, hicho utakachojenga kitakua sio ghorofa! Gharama utakazotumia kujenga hicho "kituko" unaweza kujenga nyumba kali sana ya chini ukafunga AC, solar heaters, pavings nje nk.
Wapo wabahili mkuuMiaka 6 utumie laki mbili kwa mwezi ili uje kuishi kwenye ghorofa!!! Uzuzu
ha ha ha kila kitu kina umuhimu wake mkuu, ulimwengu wa sasa unataka ujenge kwenda 'vertical' na si 'horizontal'
Mzeya ulifanya ya maana. Jambo muhimu ni kwamba una pakuishi. Matumizi mazuri ya pesa ni kula mbususu tuu maana hizo gud memories utaenda nazo mpaka kaburiniAcha tu mkuu, mimi mwenyewe niliponea chupuchupu kunasa kwenye huu mtego wa ghorofa. Mpaka siku kuna rafiki yangu ni engineer akanikalisha chini akanishushia mahesabu, kisha akanipeleka sehemu akanionyesha kighorofa ambacho kimeshakula 120m na hakijaisha bado. Nikasema huu ujinga sifanyi....!!
Nikatandika kitu cha chini cha uhakika, chenji mpaka leo naendelea kutafunia mbususu 😄
Siku mie namwaga slab mifuko 116 ya cement inondoka mbele ya macho yangu ndio nilipojua haya maghorofa yote ni kujijaza upepo tuu unless ni for business. Bora ujilie mbususu tuu kwenye nyumba yako ya chini ya mil100. Muhimu kuwe na kipupwe vyumba vyote na maji yanatoka kwa presha basi.
Wengi tunaojenga tunakua na haraka maana unataka umalize mjengo wako uhamie kwako. Mfano kama umepanga, kadri unavyochelewa kumaliza nyumba yako ndio kadri unavyozidi kulipa kodi. Pia wengi tunakula timing nyumba iishe kabla watoto hawajafika sekondari nk. Mambo ni mengi.Hutakiwi kujenga kwa haraka
Ni kweli mkuu, na kuna mtu ambae yeye ndoto zake ni kuishi kwenye nyumba ya ghorofa baas. Haijalishi nyumba hiyo itakuaje, mradi iwe ghorofa.Wapo wabahili mkuu
Hiyo cement bado kokoto nondo sijui marine boards mirunda ukodi poker concrete mixer, mambo ni mengi sana.Mbona kuna nyumba za chini zilizo expensive kuliko ghorofa depending na mchoro na quality ya kazi anayoitaka mmiliki....anyway 116 bags ni chini ya 2,000,000 kuna maajabu gani sasa hapo?
Ni kweli, nyumba ya kwanza unaweza kujenga kawaida, kuanzia ya pili nakuendelea, unaweza kuanza kujenga nyumba ya ndoto zako, kwa sababu unakuwa hauna presha.Wengi tunaojenga tunakua na haraka maana unataka umalize mjengo wako uhamie kwako. Mfano kama umepanga, kadri unavyochelewa kumaliza nyumba yako ndio kadri unavyozidi kulipa kodi. Pia wengi tunakula timing nyumba iishe kabla watoto hawajafika sekondari nk. Mambo ni mengi.
Sasa ukijikuta miaka 8 bado unapambana na nyumba tu haiishi aisee unaweza fika mahali ukaitelekeza kabisa maana hata ule mzuka wa nyumba tena unakua umeshaisha.
Hela nyingi inapotea kwenye vitu vinavyo sapoti huo ujenzi kama marine board, mbao n.k ambazo baada ya kazi vinakuwa havitumiki tena kwenye huo ujenzi, pia idadi ya nondo na gharama zakeHiyo cement bado kokoto nondo sijui marine boards mirunda ukodi poker concrete mixer, mambo ni mengi sana.
Na hivi vitu kama ulivokwisha sema vinakodishwa ukitaka...ama ukiamua nunua unaweza viuza kwa wanaofanya biashara ya kukodisha ikasaidia kurudisha pesa yakoHela nyingi inapotea kwenye vitu vinavyo sapoti huo ujenzi kama marine board, mbao n.k ambazo baada ya kazi vinakuwa havitumiki tena kwenye huo ujenzi, pia idadi ya nondo na gharama zake
Kama hiyo hela ni fixed,huwezi kumaliza kwa sababu jamvi tu inaweza kula zaidi ya hiyo fedha kutokana na ukubwa wa jengo.Ila kama una vyanzo vingine utajenga kwa mwendo wa taratibu ingawa pia muda utaongezekaNikiwa na milioni 20 naweza jenga golofa + finishing?
Inabidi uanze mapema kuliandaaMimi nitajenga kaburi la ghorofa
Usingizi ukiwa vertically ni mzuri sana, unaiwahi oxygen kabla hamjagawana wote.Mkuu kwa nchi zetu hizi bado tuna mapori mengi sana hatujafikia kuanza kuwa na umuhimu wa kwenda vertically hasa kwenye nyumba za kuishi. Hata nchi zilizoendelea wanaenda vertically mijini tu, ukiingia interior huko watu wanaishi nyumba za chini kawaida.
Ushauri wangu:
Kama una chini ya Tsh 100m isiyo na mawazo, usije hata ukawaza kujenga ghorofa! Kwa chini ya pesa hiyo, hicho utakachojenga kitakua sio ghorofa! Gharama utakazotumia kujenga hicho "kituko" unaweza kujenga nyumba kali sana ya chini ukafunga AC, solar heaters, pavings nje nk.
Unaweza kuanzia msingi.Nikiwa na milioni 20 naweza jenga golofa + finishing?
Si ndiyo maana kinyesi cha tembo ni tofauti na cha mbuzi kwa ukubwa na maumbile ingawa wote wanakula majani.Wengi tunaojenga tunakua na haraka maana unataka umalize mjengo wako uhamie kwako. Mfano kama umepanga, kadri unavyochelewa kumaliza nyumba yako ndio kadri unavyozidi kulipa kodi. Pia wengi tunakula timing nyumba iishe kabla watoto hawajafika sekondari nk. Mambo ni mengi.
Sasa ukijikuta miaka 8 bado unapambana na nyumba tu haiishi aisee unaweza fika mahali ukaitelekeza kabisa maana hata ule mzuka wa nyumba tena unakua umeshaisha.