Published on Jul 14, 2015 Marehemu Benson Wanjau almaarufu Mzee Ojwang atazikwa katika makaburi ya Lang'ata, licha ya kwamba tarehe ya mazishi bado haijatangazwa. Haya ni kwa mujibu wa kamati iliyoundwa kupanga mazishi ya muigizaji huyo hodari, aliyeaga dunia Jumapili usiku hospitalini Kenyatta. Familia yake imesema kwamba Mzee Ojwang ndiye aliyechagua eneo atakalozikwa na hivyo basi hawana budi ila kutii mapenzi yake.

hiyo picha ni Ghana, kwao hii kitu kawaida... kunamajeneza hadi RangeRover...huyo jamaa alikuwa mchora ramani za majengo...mavazi yao meusi ..yanaonekana..