Jeneza la Mzee Ojwang

Vipi choo ni cha kuflash! Halafu wamesahau kiyoyozi.
 
Aliwaomba sana msaada kipindi alipokuwa anaumwa,hakuna aliyejitokeza lakini siku ya msiba watu 'show OFF' nyiiiiingiiii
 
R.I.P LAKINI SIJAPENDA HIZO MBWEMBWE HIVI WANAZANI ATAAMKA AWE ANAENDA TOILET KUJISAIDIA "BIG JOB" AFU A- FLUSH KWA MAJI??maana mpaka SIMTANK
 
Mie ata siamini kama ni geneza kweli...
Nani ana picha nyingine tofauti na hiyo? Anitumie
 
wakati anaumwa hakuna aliyemjali amekufa mnamjengea nyumba inahusu?
 
Pole mama kayayii, pole sana inspekta mwala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…