Kiumbe duni
Senior Member
- Dec 3, 2011
- 100
- 8
Hii ni jenereta ndogo original ya kizamani inauzwa. Inapatikana moshi mjini ni nzuri kwa kifupi ni jiwe, inatumia lita 3 full tank. Haina dalali nilikuwa nafanya nayo biashara pale mo town sasa nimehamia Dar. Bei ni Tsh 150,000/: haina punguzo. Cell 0713664326