Jenerali wa North Korea, medali hadi uniform haitoshi!!

Jenerali wa North Korea, medali hadi uniform haitoshi!!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,761
Reaction score
14,860
NorthKoreanMilitaryMedals.jpg


Nasi Tz tuige hii siku ya uhuru !!!
 
Photoshop hiyo..medali gani zinawekwa hivyo
 
amna mwenye kitambi apo sio bongo MTU private mtambi kama mfuuko wa mbolea
 
Sasa hili ndyo jesh
Co huku wanakuza tu vitambi

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Hizo medali wanavikwa kila baada ya nusu saa au?
Mabega hayakutosha, lapels za koti hazikutosha, kifuani hapakutosha, upande mzima wa koti haukutosha, mkono wa koti nao umesalimu amri, sasa wanaenda kwenye suruali.
Kweli North Korea kunajenerali!!!!!
 
Back
Top Bottom