Unajidanganya!Hahahahaha kiingereza ni lugha tu kama kisukuma, kiha, kihaya ama kihehe; na sio dalili ama kipimo cha akili wala maarifa.
Huwezi kusoma nchi hii, ambayo kuanzia darasa la 3 au la1 unajifunza kiingereza,halafu kuanzia form 1 na kuendelea unatumia kiingereza tupu, halafu usijue kiingereza. Utakuwa huna akili tu au hujasoma,acha kujifariji.