Jenerali Ulimwengu: Wazalendo wote wanatakiwa kumuunga mkono Rais Samia

Kongole mzee wangu Jenerali Ulimwengu!

You are the best brain ever and a brave citizen of this land!

For benefit of the largest audience,please put this valuable post in kiswahili .
General!!!! How comes he bear such a big and reputable name!! He is not worth that name! He should have kept monitoring for at least 2yrs and post the trash.. how comes you judge her credibility within 100 days since she get into the office.? Its too early to judge positive or negative.
 
Usihangaike na artist kama Ulimwengu. Anatengeneza scenarios zisizo na ushahidi. Ni qualitative. Mtu anasema watu wengi bila kuwataja. Kesi nyingi bila kuzitaja. Watu waliogopa bila hata takwimu. Baadaye unaona kundi kubwa la watu linaunga mkono eti kweli! Hana lolote zaidi ya historia ya Afrika na kutaja majina ya wapigania uhuru. Ila amekuwa na trend hiyo. Atakuwa vocal sana iwe ni hongo kwa rais aliyepo, amuone, amfahamu.
Ulimwengu ni mzee msanii tu.
Anaenda na upepo.
Ataje hao waliobambikiwa tuwajue.
Nchi hii ukipeleka wapigaji fedha serikali mahakamani ni shida tu...Jajiz,hakimuz,advocates-rushwa.
Serikali kama hii ya Samia ikienda kwa kulialia na sifa za akina Ulimwengu itavuna mabua.
Tutarudi kulekule kwa Kikwete.
 
Mfano kiduchu tu huu. Kasome the East African April 13 2021 online huko anavyohororojoka kuua jina la Magu.
Nisemacho ni kwamba Ulimwengu hana grudge na Magufuli, ila anampinga kutokana na yale anayofanya, na sio kitu alichofanyiwa na Magu
 
Back
Top Bottom