ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,592
Hili jambo mbona lipo kitambo sana, nenda kaone wafanyakazi wanaoelekeza taratibu mbalimbali za kujiunga na chuo, badala ya Afisa kukuelekeza mwombaji anakupa namba ya mwanafunzi mwombaji mwenzako akuelekezeKiufupi anasema UDSM ni kama Sekondari ya Kata, hakina hadhi ya Chuo Kikuu tena maana kimehama kutoka kwenye tafiti na mijadala na kuwa extended school ππ
Naunga mkono hoja ya ulimwengu.
Huku wanafukuzia teuzi huku wanakimbizana na dogodogo kuna shule hapo?Maprofesa wenyewe wanafukuzia teuzi na wao...unategemea nn sasa hapo
Kiufupi anasema UDSM ni kama Sekondari ya Kata, hakina hadhi ya Chuo Kikuu tena maana kimehama kutoka kwenye tafiti na mijadala na kuwa extended school ππ
Naunga mkono hoja ya ulimwengu.
Hall lenye tetesi kubwa za HIV udsm+mabibo hostel kwa wahuniwanapigana miti sana Hall2 kule
mabox ya ARV nje nje
Umesahau kutaja zile chupa za masalia ya ARVwanapigana miti sana Hall2 kule
mabox ya ARV nje nje
ukiona gradueti anaringa kuolewa ujue tayari ana kitu, ila huwa wanaachia walau wapate mtoto mmoja kwa wapitaji tuHall lenye tetesi kubwa za HIV udsm+mabibo hostel kwa wahuni