johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,134
Mifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa.
Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai ili yaishe.
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
cc: Pascal Mayalla
Jenerali ni taasisi?Jenerali amuangukie Ndugai kwasababu gani? Wewe unamfananisha Mayalla na TAASISI!
Jenerali amefanyaje?Mifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa.
Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai ili yaishe.
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
cc: Pascal Mayalla
Amezungumzia Wabunge wanajipendekeza serikalini!Jenerali amefanyaje?
Mmezoea sana kulamba Soli za Viatu vya WakubwaMifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa.
Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai ili yaishe.
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
cc: Pascal Mayalla
Nani mkubwa?!!!Mmezoea sana kulamba Soli za Viatu vya Wakubwa
Kama ataendelea bunge linaweza kumpa adhabu gani?.Mifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa.
Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai ili yaishe.
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
cc: Pascal Mayalla
Mifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa.
Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai ili yaishe.
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
cc: Pascal Mayalla
Kojoa ulale hii ndoto unaweza kukojolea kitanda.Mifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa.
Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai ili yaishe.
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
cc: Pascal Mayalla
Bunge lina askari wanaoweza kukamata, kupiga, kutesa, kuhoji na kujeruhi kabla ya kukufikisha kwenye ile kamati yaoKama ataendelea bunge linaweza kumpa adhabu gani?.