Jenerali Shimbo, Damu imeshaanza kumwagika... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jenerali Shimbo, Damu imeshaanza kumwagika...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Tuko, Oct 11, 2010.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Oct 11, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Mzee ulisema kuwa hakuna damu itakayomwagika katika uchaguzi huu. Lakini tokea wiki iliyopita pale watu wawili walipouwawa katika mapigano ya wana-CCM na wana-CHADEMA huko Njombe, bado hujatoa tamko wala sijasikia umechukua hatua yeyote.

  Au ulimaanisha nini uliposema damu haitamwagika? Watu wanapigwa, mfano mgombea ubunge jimbo la Morogoro Kusini, Bw. Abeid Tembo alishambuliwa na mashabiki wa CCM na kumjeruhi, na alitokwa damu.

  Mbona uko kimya? ...
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Shimbo hakuwa anajua anachoongea, alikuwa anatimiza amri kwa kusoma aliyopewa

  CCM ndiyo itakayoanza kurusha first bullet
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ulininukuu vibaya:hand::hand::hand:.
  Sikumaanisha hivyo unavyotaka wewe iwe!
  Eeerrr...nilikuwa nasema......... eeeeerrrr...i mean , of coz, this situation is......sio kama nilivyosema...nadhani unaelewa!
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  ..and the story goes like that!
   
 5. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #5
  Oct 11, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alikuwa anatania tu!
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Aliongea kama zuzu tu!Hajui alichokifanya!
   
 7. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #7
  Oct 11, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Shame upon him and his magwanda...
   
Loading...