Skull dance
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 395
- 798
Huyu dogo mdomo utaiponza nchi yake.
Wanaitetea israel akili zao wote zinafananaMuhoozi Kainerugaba, mwana wa rais wa muda mrefu wa Uganda, Yoweri Museveni na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF):
"Tunataka vita vya Mashariki ya Kati viishe sasa. Dunia imechoka navyo. Lakini mazungumzo yoyote ya kuiangamiza au kuinyonghonyeza Israeli yatatuingiza vitani sisi tukiwa Upande wa Israeli!"
Huyu mtusi kwa majivuno hajambo apeleke kwanza umeme vijijiniMuhoozi Kainerugaba, mwana wa rais wa muda mrefu wa Uganda, Yoweri Museveni na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF):
"Tunataka vita vya Mashariki ya Kati viishe sasa. Dunia imechoka navyo. Lakini mazungumzo yoyote ya kuiangamiza au kuinyonghonyeza Israeli yatatuingiza vitani sisi tukiwa Upande wa Israeli!"
He should leave us with our peace 😂
Honestly, without peace nothing else in life truly matters.🤗He should leave us with our peace 😂