Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,770
- 1,173
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:–
(i) Bw. Omari Juma Mkangama ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Ludewa;
(ii) Bw. Juma Abdallah Njeru ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Mpanda;
(iii) Bi. Hellen Emmanuel Mwambeta ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha;
(iv) Bw. Francis Genes Kafuku ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu;
(v) Dkt. Adam Omar Karia ameteuliwa kuwa Mkuu wa Chuo cha Maji kwa kipindi cha pili;
(vi) Balozi Dkt. Aziz Ponary Mlima ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi (TISEZA);
(vii) Jenerali Mstaafu Venance Salvatory Mabeyo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro kwa kipindi cha pili;
(viii) Dkt. Harrison George Mwakeyembe ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kwa kipindi cha pili;