Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,646
- 164,798
Mzee huyu alisema tunarudi nyuma miaka hamsini.Kwa haya yanaoendelea nasema wazi mzee huyu aliona mbali sana.
Kamanda Lissu nawe uliona mbali sana na kutuonya ni nini kinafuata na hakika yanatimia.
Wenzetu hawa wanaoshangia wajue tu na wao hawako salama.