Jenarali Ulimwengu alikuwa sahihi sana

Jenarali Ulimwengu alikuwa sahihi sana

Hawa hawa pia walitwambia lowasa ni fisadi na wana ushahidi wa kutosha au hili tulipotezee ?
 
Uliisoma hiyo aritcle ya Ulimwengu? inaonekana huelewi hata kinachoongelewa. anyway, ndiyo akina Magu wenyewe. birds of a feather...
Birds of the same feather fly 2gether.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Una elimu gani kamanda labda tuanzie hapooo.umesomea mambo ya uchumi kidogo au umelipuka tuu. Tuletee vigezo vya kisomi wewe usidhani wote hatujaenda shule kama wewe. Na ukija utuambie nini kifanyike ili kwenda mbele miaka hamsini
Najisikia kinda proud na kutokuwa na elimu kwangu ninapoona hoja za wale wanaojitapa kuwa na elimu!!! Picha ambayo nakuwa nayo ni kwamba; ikiwa huu ndo usomi wenyewe basi inawezekana kuwa msomi ni kuwa mtu wa hovyo zaidi kuliko asiye msomi!!!!
 
Una elimu gani kamanda labda tuanzie hapooo.umesomea mambo ya uchumi kidogo au umelipuka tuu. Tuletee vigezo vya kisomi wewe usidhani wote hatujaenda shule kama wewe. Na ukija utuambie nini kifanyike ili kwenda mbele miaka hamsini
Acha ubashite na wewe. Muulize anaongelea kurudi nyuma miaka hamsini katika muktadha upi? Wa kiuchumi? Kidemokrasia?
Unajifanya unajuuua kumbe ni wake wale wa divison five

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hivi mwanasheria anaweza kutoa hoja nzito zinazohusu uchumi kukua na kutokua. Duh.....its only in TZ
Kiongozi wako amesoma kemia.mambo ya uchumi anayafanya kupitia kauli ya viwanda.
Wewe unaelimu ipi aisee mpaka unatoa uharo huu [emoji35]

Sent from my Infinix-X551 using JamiiForums mobile app
 
Hivi mwanasheria anaweza kutoa hoja nzito zinazohusu uchumi kukua na kutokua. Duh.....its only in TZ
Wapi kwenye bandiko lake kasema au kajikita kwenye uchumi pekee hadi usema wachumi ndo wenye kuweza kutoa hoja hii??
 
Una elimu gani kamanda labda tuanzie hapooo.umesomea mambo ya uchumi kidogo au umelipuka tuu. Tuletee vigezo vya kisomi wewe usidhani wote hatujaenda shule kama wewe. Na ukija utuambie nini kifanyike ili kwenda mbele miaka hamsini
Mwenye macho haambiwi tazama

Sent from my GT-I9152P using JamiiForums mobile app
 
Aliona mbali wapi Ulimwengu? 50 years ago wala hakuwa Mtanzania, hawa ni matunda ya vita vya Wahutu na Warundi kule kwao. Iweje leo atupimie tumefika wapi? Na Tundulissu kaona kitu gani wapi, huyu si ni kama tai wanaozungukazunguka angani Serengeti kutafuta mzoga aweze kusafisha? Ulishawahi hata siku moja kumuona Tundu akiwa na furaha? Huyu asemaye hataki kuitwa Mtanzania si aende kwa Wahutu wenzao au Kenya they are 50 years ahead.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Una elimu gani kamanda labda tuanzie hapooo.umesomea mambo ya uchumi kidogo au umelipuka tuu. Tuletee vigezo vya kisomi wewe usidhani wote hatujaenda shule kama wewe. Na ukija utuambie nini kifanyike ili kwenda mbele miaka hamsini
Ukiona au kusikia muda wote mtu anadai elimu ya mwingine ujue yeye binafsi ana elimu duni sana, anajatibu kufanya compasation ya mapungufu yake kwa kujaribu comparison. Huna hoja.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hivi mwanasheria anaweza kutoa hoja nzito zinazohusu uchumi kukua na kutokua. Duh.....its only in TZ
Single track thinking ni hatari kama yako! Kwa taarifa yako wako wanasheria wa uchumi...iwe somo kwa wajinga wanaoaandika ovyo humu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Single track thinking ni hatari kama yako! Kwa taarifa yako wako wanasheria wa uchumi...iwe somo kwa wajinga wanaoaandika ovyo humu

Post sent using JamiiForums mobile app
Hahaha kamanda tumia akili walau basi kidogo. Kwa hiyo unaweza mfananisha mwanasheria huyo na mchumi proffessional. Duh. Unamaanisha nafasi anayoajiriwa mchumi anaweza ajiriwa mwanasheria kwa nafasi hiyohiyo duhh... embu nijibu hapa nione kama kweli umeenda shule
 
Single track thinking ni hatari kama yako! Kwa taarifa yako wako wanasheria wa uchumi...iwe somo kwa wajinga wanaoaandika ovyo humu

Post sent using JamiiForums mobile app
Siamini kama wewe ndio umejibu hapa. Aibuuui.... hata weweeee
Hivi mwanasheria aliye base kwenye mambo ya economics kwa lugha nyingine tunaweza muita mchumi ?????
 
Back
Top Bottom