Jembe Modric latua rasmi bernabeu.

ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
908
604
Hakyanani tutaua mtu mwaka huu.Lazima tuunde mid-field moja ya hatari saana.Tumemtwaa kwa €42million,atavaa jezi namba 19 na tumempa mkataba wa miaka mitano(5).karibu sana jembe Modric.
 
Daaa nnae furaha sana,. Bado beki ya kusaidiana na pepe na foward1 kina benzena na hinguin ni vituko tu
 
Back
Top Bottom