jembe Likiwa na Mundu

Mundu tuliutumia kukata majani mtsudu wewe Amavubi..hiyo ni sururu ya kuchimba mashimo ya migomba!!!!

dem gud ol' dayz...
 
Last edited by a moderator:
anaweza kumaliza hata mshindo mmoja?

Mshindo mmoja tu na yeye chali... Hivi inawezekana na huko nje anapoendaga kuzurura, nahisi atakuwa anaanguka, ila ishu inakuwa kimya-kimya....
 
Sio kwenu tu hilo ndio neno mujarabu kwa mujibu wa lugha yetu Kiswahili, Mundu hutumika kukatia vitu kama nyasi ina meno ambayo yataka kufanana na ya msumeno

kule kwetu tunasema....."sururu"
na sio Mundu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…