Jembe letu ni Mbeya City

Jembe letu ni Mbeya City

Lady niece

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
953
Reaction score
414
hata kama hawa watu wanafungwa wanaonewa
wanazomewa na wanaonekana si chochote
wao watabaki kuwa JEMBE LA MAADUI TANZANIA
hawana mpinzani

wadau na wapenzi wa Mbeya City mwaonaje timu yetu
kwa sasa wekeni maoni, ushauri wenu na hata
maduruhu yenu hapa ili kuipa changamoto na kuipa
umakini timu yetu ya Mbeya ili iweze kushinda kila msimu

karibuni marafiki mtupiemo yenu dukuduku hapa
 
Back
Top Bottom